Window 10 Auto Update

Moseskyey

Member
Sep 12, 2021
30
22
Moja ya changamoto inawakumba wengi ni Window 10 Kuweza Kufanya Auto Update ambayo inaweza Chukua Bundle lako chap na Hii huwa inachukua zaid ya GB 2+ kufanya update, first time kutumia Hii Window nilijuata Kwakweli 😂 Maan nilipiga Window nikaweka Bundle langu nikasema wacha ni Download Program Baadhi Lakin sikumaliza hata 1 Hour, SMS Umetumia 75% nilichoka hii Problem imekuwa kwa Wengi na Wengine Kushindwa Kufanya Mambo yako na Wengine kukesha katika Task Manager. iliku stop any background Process inayofanyika na Kutumia Bundle But Leo nikakupa Mbinu unaweza Stop Auto Download & Update Forever.
1.Using Setting

 • Fungua Setting yako Kisha nenda katika Updates & Security
 • 1708851677902.png
 • Pause Updates for 7 Days Click hapo mpk hautoweza click, kwamba wameweka limit hauwez kaa zaid ya kipind flan bila kupata Updates

2. Run Window bat
 • Download Hii bat link
 • Download window bat
 • Kisha Run As Administrator
 • 1708851941714.png
 • Ukiona Message kama hiy ujue Done
3. Using Group Policy Editor (For Windows 10 Pro, Enterprise, and Education editions)
1708852282261.png

 • Press Win + R to open the Run dialog.
 • Type gpedit.msc and press Enter. This opens the Group Policy Editor.
 • Navigate to Computer Configuration > Administrative Templates > Windows Components > Windows Update.
 • Double-click on Configure Automatic Updates.
 • Select the Disabled option to turn off automatic updates.
 • Click Apply and then OK.Note: Baada ya Kupiga Window hakikasha una Update Drivers zako hii itafanya PC yako kuwa Vizr na Kurun vizr. Program ninayoweza pendekeza ni Driver Booster

Contact; 0627850006 Whatsapp Only
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom