ze-dudu
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 18,697
- 24,748
Elimu elimu elimuUnga umemtafuna hadi huruma,wasanii wa Hiphop Bongo sijui kwanini wanakuaga na mambo haya[emoji86] [emoji86] [emoji86]
Sent using Jamii Forums mobile app
Elimu elimu elimuUnga umemtafuna hadi huruma,wasanii wa Hiphop Bongo sijui kwanini wanakuaga na mambo haya[emoji86] [emoji86] [emoji86]
Ameshakufa sasa utamjibia nini tena!I don't care who you are, hata kama ukin' diss me
Still I got love to ma fans who are with me
Na bado nipo fiti, heshima zimejaa tele milele nitaendelea kuzidhibiti,, yoo
Jf z on, jf z cool
Still ntaendelea kutajika kama jina la maguful
Hapo sawa, kunywa kahawa
Haina haja ya kupagawa kama kawa nawaumiza kisha nawapa dawa.
Na holla
Kwa yeyote anayejihisi ye ni fala
Unga tela la mapinduzi salute kwa Che Guevara
Kwa niaba ya King zilla. Shabiki yake hapa namjibia.
Inasikitisha sana jamani naumia vijana kufa mapemaaNahisi huyu Hammaz aliekua anamjibia Zilla ndio KING ZILLA mwenyewe..
R.I.P MY NIGGA say hi to PAC n BIG