Kuvaa Gucci loui vee usihic mi ni sharobaro, so fake Mc nmetoka kwenye freestyles battleHuu muonekano mpya Wa king zila unatia huruma sana aisee View attachment 885063
Hivi viatu huwa haviachi yani huku salasala magengeni tunamchora tu jamaaHuu muonekano mpya Wa king zila unatia huruma sana aisee View attachment 885063
I don't care who you are, hata kama ukin' diss meHivi viatu huwa haviachi yani huku salasala magengeni tunamchora tu jamaa
Mbona hakuna swali hapo umejibu nini sasa hio ilikua ni taarifa tuI don't care who you are, hata kama ukin' diss me
Still I got love to ma fans who are with me
Na bado nipo fiti, heshima zimejaa tele milele nitaendelea kuzidhibiti,, yoo
Jf z on, jf z cool
Still ntaendelea kutajika kama jina la maguful
Hapo sawa, kunywa kahawa
Haina haja ya kupagawa kama kawa nawaumiza kisha nawapa dawa.
Na holla
Kwa yeyote anayejihisi ye ni fala
Unga tela la mapinduzi salute kwa Che Guevara
Kwa niaba ya King zilla. Shabiki yake hapa namjibia.
Ulichokiandika hapo juu ni nini? Mwenye uelewa wa taaluma ya maana anajua hiyo ni taarifa ya namna gani.Hivi viatu huwa haviachi yani huku salasala magengeni tunamchora tu jamaa
I don't care who you are, hata kama ukin' diss me
Still I got love to ma fans who are with me
Na bado nipo fiti, heshima zimejaa tele milele nitaendelea kuzidhibiti,, yoo
Jf z on, jf z cool
Still ntaendelea kutajika kama jina la maguful
Hapo sawa, kunywa kahawa
Haina haja ya kupagawa kama kawa nawaumiza kisha nawapa dawa.
Na holla
Kwa yeyote anayejihisi ye ni fala
Unga tela la mapinduzi salute kwa Che Guevara
Kwa niaba ya King zilla. Shabiki yake hapa namjibia.
No stress no hofu feeling, nipo kwenye right track mi ndo yule bonge la sterlingHizi ndiyo shida za kumwiga 50cent,
stress zitakuuwa hauna hata sent ya kulipa rent,
kama mziki umekushinda jaribu hata kubet
wasanii wa bongo mkipata hela mnananua tu makreti
hamkumbuki kuweka saving kwenye akaunti za benk
No stress no hofu feeling, nipo kwenye right track mi ndo yule bonge la sterling
Na cheki, nipo fiti yani nipo kijeshi, mpunga umejaa ukihitaji nakupatia hata cash
So uc' panic bwana mdogo ukioniona nashusha kreti, na kama kawa afta party huwa nashusha sketi.....
Yo,, its all about swagg, 50 cent copy bado mbish nazi' hug
Tungi all day money zipo kwenye bag
Weed kama kawa, yes maisha ya ki' thug....... Yoo
The real MC, naienzi fasihi, misingi ya kiuhakika salute kwa Nash Mc
Na bado nahitajika kwenye jamii, mziki haujanitupa na hakuna wa kun' stop me
Kudadeki ni msemo wa Joti, maneno ya shombo ndiyo cfa ya Mpoki
Ligi uliyoichokoza wewe zombie
hautoki, Jiwe mwenyewe anasubiri, yani kwangu ana float
Rudi kwenu ukachunge Mbuzi, kuandika vina hauwezi c tunanukia marashi we zombie unanukia Ushuzi
Na I'm sorry, fani inayokufaa ni ya kuuza midori, na ikikushinda nenda kauze hata pipi za ivory
Hahahah...umenifurahishakwa kujisifu na msivyo navyo hata mimi siwawezi,
unakaa salasala lakini unashinda mbezi,
kingereza unaungaunga tu kwenye verse kinachokubeba labda bezi,
mambo unayolopoka utazani labda crazy,
Wanahiphop mnajushaua sana..kiukweli Hamna maanaNo stress no hofu feeling, nipo kwenye right track mi ndo yule bonge la sterling