Huu muonekano mpya Wa king zila unatia huruma sana aisee View attachment 885063
Watu wasiojulikana hao[emoji23]Fafanua Ndio Nani Huyo?
Ni dozi ya niniLabda Yuko kwenye high and prolonged dose ya prednisone kama 60mg/day
Alisema, Anabadilika sana, cause he is the best, walifikiri atakufa baada ya accident" hichi nacho tunaweka kwenye memory, baada ya miaka 10 sio rahisi yy ku write history"Yeye mwenyewe aliimba, nabadilika sana, jinsi nilivyo watu Wana blow king zila ni balaa
Inatumika kutibu magonjwa mengi mno kuyataja . Google knows everything.Ni dozi ya nini
Jina la dawa lenyewe gumu hivyo halaf nigoogle ntaelewa kweli ,sawa banaaaInatumika kutibu magonjwa mengi mno kuyataja . Google knows everything.
sasa anachotia huruma kitu gani hapo labda..zilla alianza kunenepeana ovyo na ule mwili mnene haumpendez kabisa anapga sana tizi ssaiv na diet ndo maana wamuona hivoHuu muonekano mpya Wa king zila unatia huruma sana aisee View attachment 885063
Si wananfuata kila kitu kwa akina 50 Cents,hawaigi pesa wanaiga matumizi! Umarekani mwingi yoyoyo nyingi huku anakula ngada,chid alikuwaga anapiga watu kama Hana akili nzuri naw kaufyata,nusu duniani nusu kuzimu Kanye West bado anakula duniaUnga umemtafuna hadi huruma,wasanii wa Hiphop Bongo sijui kwanini wanakuaga na mambo haya[emoji86] [emoji86] [emoji86]
Mkuu mtu mwembamba kwa ajili ya mazoezi utamjua tuu na mwembamba kwa ajili ya kuumwa nk utamuona tuu,sasa tizi unavimbaje mashavu na unakua mweusi kama lami ya chato,mkuu basi hayo mazoezi aachesasa anachotia huruma kitu gani hapo labda..zilla alianza kunenepeana ovyo na ule mwili mnene haumpendez kabisa anapga sana tizi ssaiv na diet ndo maana wamuona hivo
uyo zilla maneno maneno tu ata bangi yenyewe sjui kama anavuta.jamaa mtu wa low life alaf hanaga mambo mengi.Si wananfuata kila kitu kwa akina 50 Cents,hawaigi pesa wanaiga matumizi! Umarekani mwingi yoyoyo nyingi huku anakula ngada,chid alikuwaga anapiga watu kama Hana akili nzuri naw kaufyata,nusu duniani nusu kuzimu Kanye West bado anakula dunia