Kwani mipaka ya nchi si tumeitengeneza sisi? Mungu kama kweli yupo na kama kweli uwezo wanaousifia nikweli basi, niyeye ndo alieamua dini zake zianzie wapi kwasababu zake, huenda zingeanzia Africa wazungu aangekuwa wanalalamika au kama ingeazia brazili waarabu wangekua wanalalamika pia.Ni swala la nani kakutawala...Egypt walikuwa Wana dini zao waarabu wakawaletea uislamu, waafrika walikuwa na dini zao wazungu wakawaletea ukristo. Kama Mungu yupo kila mahali mbona alisubiri mpaka miaka ya CE awatokee watu wa jamii moja jangwani afu dunia nzima iamini kuwa ndo Mungu. Why asingetokea Moshi New York Australia atokee tu Judea. It means either wamemtengeneza wao au Mungu hayupo sehemu zote
Haina uthibitisho wa kihistoria. Story nyingi hazina uthibitisho wa kihistoria kupitia data zisizo za dini na kupitia archaeology na anthropology.Sasa biblia haina uthibitsho vipi? Au ulitaka uiandike wewe ?
Ye si mungu lakini....kwa Nini Mungu mmoja lakini dini 20k, Kuna miungu mingine huiabudu kwa Nini huamini kina Krishna na Zeus unaamini Yahweh na Allah. Una kigezo kipi Cha kuamini Mungu wa uarabuni na uyahudi na sio wa kabila lakoKwani mipaka ya nchi si tumeitengeneza sisi? Mungu kama kweli yupo na kama kweli uwezo wanaousifia nikweli basi, niyeye ndo alieamua dini zake zianzie wapi kwasababu zake, huenda zingeanzia Africa wazungu aangekuwa wanalalamika au kama ingeazia brazili waarabu wangekua wanalalamika pia.
Tatizo wewe umekariri na umeshikilia huo msimamo kwa kukariri tu kuwa hakuna uchawi, hapo mkuu hauna unachoweza kuelezea kuonyesha hakuna hicho kinachoitwa uchawi zaidi ya kukimbilia kutaka nithibitishe kama uchawi upo. Kama ambavyo mnavyosema kuwa afrika ndio kuna imani sana za uchawi ila nikikuuliza hapo ni matukio mangapi yenye kuhusishwa na uchawi umewahi kukutana nayo na ukayafuatilia na kugundua haikuwa uchawi kama ilivyoaminiwa?sidhani kama umewahi kufanya hivyo.Ukishaamini uchawi upo automatically huna maarifa coz umeshindwa kureason na kutumia logic. Ndo maana unakuta hata Kuna watu ni wakristo Ila hawaamini uchawi na kulogana.. so why wewe unaamini uchawi au mizimu
Nimetaja waarabu kama watu ambao ni matajiri ila wanaamini Mungu, waislamu wapo hata afrika ambako ni masikini kwahiyo ni wewe tu mwenye umekurupuka.Kuwa na hoja zenye direct and clear cut picture
Na ndio maana nakwambia sasa wapo madaktari kabisa ambao wanaamini Mungu na kuamini story zilizoelezwa kwenye vitabu vya dini.Mi sio daktari Ila naweza nikasoma basic biology nikaelewa Noah's story ni fake, Adam n Eve in the garden of Eden ni fake, heaven n hell and soul ni fake, coz naelewa hivi vitu haviwezekani in biology...Ila sio lazma niwe daktari
Duh! Mkuu jaribu kuwa muelewa sijui kwanini bado umekazania kushindanisha? Waafrika elimu wanayo ndio maana kuna mahospitali na kuna madaktari sio waganga wa kienyeji.Elimu wanayo lakini wanaombea corona iondoke afu wanasema imeisha afu wanatangaza sherehe, wenzako wanakubali corona ipo, wanaigundua, wanaitafiti, wanaitafutia chanjo, wanahalalisha na wanasambaza duniani. Kati ya hao na sisi nani ana elimu na nani inamsaidia.
Kwanini anitokee mimi? Kwa nini hauulizi hajakutokea wewe?Wewe Mungu yupo kila sehemu mbona hajakutokea wewe katokea watu wa jangwani miaka iliyopita wakaandika vitabu ndo wamekupa na tishio juu.
Sijasema kukuaminisha ila nachokuuliza kwanini unakimbilia uthibitisho? Ina maana unaogopa kuaminishwa ndio maana unakimbilia kudai uthibitisho kama kinga ya kuzuia usibadilishiwe mtazamo uliyonao sasa?Why usilete evidence, why uniaminishe kitu bila udhibitisho...vitu duniani huviamini bila uthibitisho isipokuwa Mungu coz umetishiwa moto..
Narudia kusema kwamba unachokieleza sasa ni issue yenye kuhusu afrika na kutokuwa na maendeleo na si suala tena la madai ya waafrika kutokuwa na elimu ndio kunafanya wanaamini Mungu.Sijaaacha, naendeleza habari. Si elimu tu, ni utamaduni pia.
Ukiamini uchawi uchawi, sehemu ya kufanya kazi utataka uloge. Sehemu ya kusoma utataka uloge. Sehemu ya kufikiri, utataka uombe Mungu.
Kuomba Mungu nako ni aina fulani ya kuamini uchawi (magical thinking, believing innsupernatural powers).
Wenzetu wametoka huko, wanatatua matatizo yao in natural ways. Hawamtegemei Mungu awamalizie matatizo yao. Ndiyo maana wanatushinda na kuvumbua vitu, na sisi tunawategemea.
Hujakanusha habari ya elimu.
Unatenganishaje suala la Africa kutokuwa na elimu na Africa kutokuwa na maendeleo?Narudia kusema kwamba unachokieleza sasa ni issue yenye kuhusu afrika na kutokuwa na maendeleo na si suala tena la madai ya waafrika kutokuwa na elimu ndio kunafanya wanaamini Mungu.
Kuhusu suala la elimu unataka nikanushe nini ikiwa wewe mwenyewe bado unarukaruka mara waafrika wenye elimu wanaigiza wanaamini Mungu kwa sababu tu za kisiasa na kuhofia jamii mara tena waafrika na waarabu hawana elimu kama waliyonayo sijui Northern europe ndio maana bado wanaamini Mungu mara waafrika hawaamini Mungu ndio maana wanafanya yaliyokatazwa na huyo Mungu.
Yani ukiona watu afrika wanafanya mambo yaliyo kinyume na makatazo ya Mungu unasema hawaamini Mungu ila huko kwengine wenye elimu unaona elimu yao ndio inawafanya wasiamini Mungu.
Hoja yako ya kwamba wenye kufanya mambo yaliyokatazwa na Mungu ni kwamba wanafanya hivyo kwa sababu hawaamini Mungu imeishia vp?Kwanza kabisa, huyo Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote angekuwapo, dhambi isingewezekana kuwapo.
Huyo Mungu na hiyo dhambi ni mambo mawili ambayo ni mutually exclusive. Hayawezi kuwapo kwa pamoja. Ama Mungu yupo na dhambi haiwezekani kuwapo, ama hiyo unayoiita dhambi ipo na Mungu hawezekani kuwapo.
Hiyo dhambi kuwezekana kuwapo ni jambo linalo contradict uwepo wa huyo Mungu.
Na contradiction hiyo inaonesha Mungu huyo hayupo, ni wa hadithi tu.
Ndiyo maana huwezi kuthibitisha huyo Mungu yupo.
Kama unabisha, thibitisha huyo Mungu yupo.
Swali langu kwanini unakimbilia kudai evidence? Sio kwamba nataka kulazimisha ukubali uwepo wake ila nachouliza ni huko kukimbilia kwenye hitimisho la kudai evidence, unaogopa nini? Nasema hivyo kwa sababu kudai evidence imekuwa kama kinga.
Hakuna nilichotenganisha katika hivyo vitu viwili kwa sababu sizungumzii habari za kwanini afrika hakuna maendeleo, nimeonyesha hayo ambayo wewe unayaaeleza.Unatenganishaje suala la Africa kutokuwa na elimu na Africa kutokuwa na maendeleo?
Unataka kusema Africa ina maendeleo kuliko Northern Europe?
huamini kwa sababu haijakutokea,so waliopata shida kwa hayo ambayo huya amini sasaivi wana kuchukulia fara tu,kwanza hujitambui, nyindo wale mkifanikiwa ubisho mwingi munaona wengine hawajui kutafutaSiamini kitu chochote kisichokuwa na uthibitisho wa kuonekana na kupimika na mtu yoyote. Siamini kitu ambacho Ni story za mtaani za watu wasio na uelewa na miili Yao au mazingira yao