Mungu wangu likumbuke Taifa langu la Tanzania

Asali 🍯🐝

images - 2022-08-15T075938.383.jpeg
 
Sema tatizo nini kwa kirefu, Vijana kwa wazee wakisoma watapata hisia za ukombozi na kupambana wenyewe kulikomboa Taifa lao. Unazungumzia taasisi, Je kama nazo ziko compromise? unategemea nini kama si raia ndio waokoe Taifa lao.
 
Tukiweka mzaha pembeni. Tanzania inapita katika kipindi kigumu mno........
Mchunga ng'ombe anapopeleka mifugo yake machungani, akapita kijiji cha jirani na kumchukua kijana kama msaidizi.
Mbali msituni mwenye mifugo kaangukiwa na mti kafa. Kijana kaachwa na mifugo hajui mwenye mali alikuwa anawapeleka wapi.

Alichofanya ni kuomba msaada na mwongozo kwa kila aliyehisi ni mfugaji....kumbe walikuwa ni wezi wa mifugo.
 
Hata kama vifijo na chereko vikiwa na kelele ya mawimbi ya bahari bado kuna kilio ktk mioyo ya watanzania. Jambo sio zuri lina andaliwa ktk usiri na wanao ulio tupa macho ya rohoni nakutupa ona siri ambazo wengine hawakuwahi kuziona ama kuzisikia tuna piga magoti na kukuomba utuokoe ktk giza lina taka kulipata Taifa hili.

Mungu wangu najuwa wewe unaona toka sirini kila mkakati nampango unapangwa kwa nia mbayaa juu ya Taifa hili nakamwe hutoruhusu mpango wowote wakishetani kufanikiwa.

Nakuomba Mungu wangu uwashike mkono viongozi wakuu waidara nyeti za usalama ukawape hekima na maarifa makubwa kusimama upande wa watanzania na kuliokoa Taifa hili kutoka mipango mibaya ya Ibilisi.
Mungu wangu waone kwa jicho la huruma vijana wa Taifa hili walio choka nakukata tamaa muangalie kijana yule amechoka anakuhitaji. Mungu tusamehe pale tumekosea maana tulifanya kwa ujinga tu.

Unasema ktk neno lako unamwangalia mtu mmoja anaye liombea Taifa. Mungu wangu nina simama kama mtu ulie niita kwa jina lako nakunipa nafasi kuona yale watu hawayaoni Mungu wangu kwa neno la nabii wako nakuomba kila mpango mbaya kuwa gawa watanzania nakuwa fanya wawe na maisha magumu ili wapige magoti usifanikiwe.

Kama Taifa utatuinua tena kwa kishindo na dunia itakiri yupo Mungu wa Tanzania. Kila mkakati iwe ndani ya taifa au nje ya taifa kutugawa nakutuweka mtu kati haitofanikiwa. Taifa hili ni mali yako na hakuna mwenye haki zaidi ya mtanzania mwingine. Àmen
Muuaji katika ubora wako! Yuko wapi Ben Saanane?

Hakuna jambo lolote guru nchi inapitia ni ngonjera zenu sukuma gang kwa sababu ajenda zenu zimefeli Big time. Poleni sana, Samia is here to stay mpaka 2030. Mungu ndo kaweka iwe ivo
 
Hata kama vifijo na chereko vikiwa na kelele ya mawimbi ya bahari bado kuna kilio ktk mioyo ya watanzania. Jambo sio zuri lina andaliwa ktk usiri na wanao ulio tupa macho ya rohoni nakutupa ona siri ambazo wengine hawakuwahi kuziona ama kuzisikia tuna piga magoti na kukuomba utuokoe ktk giza lina taka kulipata Taifa hili.

Mungu wangu najuwa wewe unaona toka sirini kila mkakati nampango unapangwa kwa nia mbayaa juu ya Taifa hili nakamwe hutoruhusu mpango wowote wakishetani kufanikiwa.

Nakuomba Mungu wangu uwashike mkono viongozi wakuu waidara nyeti za usalama ukawape hekima na maarifa makubwa kusimama upande wa watanzania na kuliokoa Taifa hili kutoka mipango mibaya ya Ibilisi.
Mungu wangu waone kwa jicho la huruma vijana wa Taifa hili walio choka nakukata tamaa muangalie kijana yule amechoka anakuhitaji. Mungu tusamehe pale tumekosea maana tulifanya kwa ujinga tu.

Unasema ktk neno lako unamwangalia mtu mmoja anaye liombea Taifa. Mungu wangu nina simama kama mtu ulie niita kwa jina lako nakunipa nafasi kuona yale watu hawayaoni Mungu wangu kwa neno la nabii wako nakuomba kila mpango mbaya kuwa gawa watanzania nakuwa fanya wawe na maisha magumu ili wapige magoti usifanikiwe.

Kama Taifa utatuinua tena kwa kishindo na dunia itakiri yupo Mungu wa Tanzania. Kila mkakati iwe ndani ya taifa au nje ya taifa kutugawa nakutuweka mtu kati haitofanikiwa. Taifa hili ni mali yako na hakuna mwenye haki zaidi ya mtanzania mwingine. Àmen
TAIFA lina LAANA Taifa lina watesa Wananchi wake
Taifa lina ubaguzi
Taifa lina Watu Wachache Wanalifaidi
Taifa lina KATIBA ya kuwanyima Haki Raia wake
Taifa halitendi Haki kwa Raia zake
Taifa linaua linafunga linabambikizia kesi Raia zake kisa Madaraka
Taifa linapenda Raia wake Waishi KIMASIKINI
TAIFA lina LAANA
 
Hata kama vifijo na chereko vikiwa na kelele ya mawimbi ya bahari bado kuna kilio ktk mioyo ya watanzania. Jambo sio zuri lina andaliwa ktk usiri na wanao ulio tupa macho ya rohoni nakutupa ona siri ambazo wengine hawakuwahi kuziona ama kuzisikia tuna piga magoti na kukuomba utuokoe ktk giza lina taka kulipata Taifa hili.

Mungu wangu najuwa wewe unaona toka sirini kila mkakati nampango unapangwa kwa nia mbayaa juu ya Taifa hili nakamwe hutoruhusu mpango wowote wakishetani kufanikiwa.

Nakuomba Mungu wangu uwashike mkono viongozi wakuu waidara nyeti za usalama ukawape hekima na maarifa makubwa kusimama upande wa watanzania na kuliokoa Taifa hili kutoka mipango mibaya ya Ibilisi.
Mungu wangu waone kwa jicho la huruma vijana wa Taifa hili walio choka nakukata tamaa muangalie kijana yule amechoka anakuhitaji. Mungu tusamehe pale tumekosea maana tulifanya kwa ujinga tu.

Unasema ktk neno lako unamwangalia mtu mmoja anaye liombea Taifa. Mungu wangu nina simama kama mtu ulie niita kwa jina lako nakunipa nafasi kuona yale watu hawayaoni Mungu wangu kwa neno la nabii wako nakuomba kila mpango mbaya kuwa gawa watanzania nakuwa fanya wawe na maisha magumu ili wapige magoti usifanikiwe.

Kama Taifa utatuinua tena kwa kishindo na dunia itakiri yupo Mungu wa Tanzania. Kila mkakati iwe ndani ya taifa au nje ya taifa kutugawa nakutuweka mtu kati haitofanikiwa. Taifa hili ni mali yako na hakuna mwenye haki zaidi ya mtanzania mwingine. Àmen
Sawa ngoja tuone huyo ibilisi uliyemuona akiumbuliwa kwa mipango mibaya ya sirini.
 
Inahuzunisha na kuchekesha at the same time
 
Hata kama vifijo na chereko vikiwa na kelele ya mawimbi ya bahari bado kuna kilio ktk mioyo ya watanzania. Jambo sio zuri lina andaliwa katika usiri na wanao ulio tupa macho ya rohoni nakutupa ona siri ambazo wengine hawakuwahi kuziona ama kuzisikia tuna piga magoti na kukuomba utuokoe ktk giza lina taka kulipata Taifa hili.

Mungu wangu najuwa wewe unaona toka sirini kila mkakati nampango unapangwa kwa nia mbayaa juu ya Taifa hili nakamwe hutoruhusu mpango wowote wakishetani kufanikiwa.

Nakuomba Mungu wangu uwashike mkono viongozi wakuu waidara nyeti za usalama ukawape hekima na maarifa makubwa kusimama upande wa watanzania na kuliokoa Taifa hili kutoka mipango mibaya ya Ibilisi.

Mungu wangu waone kwa jicho la huruma vijana wa Taifa hili walio choka nakukata tamaa muangalie kijana yule amechoka anakuhitaji. Mungu tusamehe pale tumekosea maana tulifanya kwa ujinga tu.

Unasema katika neno lako unamwangalia mtu mmoja anaye liombea Taifa. Mungu wangu nina simama kama mtu ulie niita kwa jina lako nakunipa nafasi kuona yale watu hawayaoni Mungu wangu kwa neno la nabii wako nakuomba kila mpango mbaya kuwa gawa watanzania nakuwa fanya wawe na maisha magumu ili wapige magoti usifanikiwe.

Kama Taifa utatuinua tena kwa kishindo na dunia itakiri yupo Mungu wa Tanzania. Kila mkakati iwe ndani ya taifa au nje ya taifa kutugawa nakutuweka mtu kati haitofanikiwa. Taifa hili ni mali yako na hakuna mwenye haki zaidi ya mtanzania mwingine.

Àmen
Nikikumbuka ulivyofurahia shambulio la Lissu nakuona mchawi tu na huyu mungu wako ni wa baali.
 
Mwandishi wewe ni Paul aliyekuwa Sauli? Unaandika mambo mazuri utafikiri hukuwa katili na hata kuhusika na kutoweka kwa Ben R. Saanane!
Kama umeongoka, si ungekiri hadharani na kumlaani shetani na watu wake waliokutumia kuumiza wengine
 
Hata kama vifijo na chereko vikiwa na kelele ya mawimbi ya bahari bado kuna kilio ktk mioyo ya watanzania. Jambo sio zuri lina andaliwa katika usiri na wanao ulio tupa macho ya rohoni nakutupa ona siri ambazo wengine hawakuwahi kuziona ama kuzisikia tuna piga magoti na kukuomba utuokoe ktk giza lina taka kulipata Taifa hili.

Mungu wangu najuwa wewe unaona toka sirini kila mkakati nampango unapangwa kwa nia mbayaa juu ya Taifa hili nakamwe hutoruhusu mpango wowote wakishetani kufanikiwa.

Nakuomba Mungu wangu uwashike mkono viongozi wakuu waidara nyeti za usalama ukawape hekima na maarifa makubwa kusimama upande wa watanzania na kuliokoa Taifa hili kutoka mipango mibaya ya Ibilisi.

Mungu wangu waone kwa jicho la huruma vijana wa Taifa hili walio choka nakukata tamaa muangalie kijana yule amechoka anakuhitaji. Mungu tusamehe pale tumekosea maana tulifanya kwa ujinga tu.

Unasema katika neno lako unamwangalia mtu mmoja anaye liombea Taifa. Mungu wangu nina simama kama mtu ulie niita kwa jina lako nakunipa nafasi kuona yale watu hawayaoni Mungu wangu kwa neno la nabii wako nakuomba kila mpango mbaya kuwa gawa watanzania nakuwa fanya wawe na maisha magumu ili wapige magoti usifanikiwe.

Kama Taifa utatuinua tena kwa kishindo na dunia itakiri yupo Mungu wa Tanzania. Kila mkakati iwe ndani ya taifa au nje ya taifa kutugawa nakutuweka mtu kati haitofanikiwa. Taifa hili ni mali yako na hakuna mwenye haki zaidi ya mtanzania mwingine.

Àmen
Mungu na asikie kuomba kwetu. Ameeen
 
Mchunga ng'ombe anapopeleka mifugo yake machungani, akapita kijiji cha jirani na kumchukua kijana kama msaidizi.
Mbali msituni mwenye mifugo kaangukiwa na mti kafa. Kijana kaachwa na mifugo hajui mwenye mali alikuwa anawapeleka wapi.

Alichofanya ni kuomba msaada na mwongozo kwa kila aliyehisi ni mfugaji....kumbe walikuwa ni wezi wa mifugo.
Huu mwandiko unafikirisha sana
 
Pep
 
Back
Top Bottom