Mungu wa Israel ni mkuu

Porojo nyingi hakuna cha maana.

Mungu wa Israel ni bwana wake wa ndoa USA na mahawara zake Ulaya nzima.

Israel bila hao ni mweupe zaidi ya Burundi.

Hizo zingine ni blah blah na propaganda za mashog, a tu.
Ustaadh acha mihemko
 
Siyo kweli. Wanaowachapa Iran ni wanawake wa Kiyahudi. Hizi nyingine ni porojo za kujifariji za siku zote miaka yote
Acha utoto soma hapo taarifa za western media wakikiri uhusika wa Jordan, US kwenye kumsaidia Israel. Let alone UK nayo imetoa logistical support. Hao US Mpaka refuelling ya ndege vita wamefanya wao.


 
Huo mstari upo ,sijui unakataa nini
Si uweke hapa hata Google si unaweza upata. Issue ni kwamba aliambiwa Abraham sio wayahudi kama wayahudi, sasa Abraham ni baba wa wengi sio wayahudi tu maana ni wajukuu hao. Kumbuka nje ya isaka ana watoto watano wengine aliozaa na Keturah nao wana baraka za Abraham lakini sio wayahudi!!
 
Nini kinawazuia Washirika wa Iran kumpa Mabilioni mshirika wao??
Ndio maana nasema sifa asipewe Israel maana anapigana kwa support ya nchi 5 huku Iran ni kama yatima.

Ila ingekua Iran vs Israel wenyewe tu hapo ndio tungeona uhalisia wa vita. Ni sawa na Ukraine ijisifie kumpiga Urusi ilihali mataifa zaidi ya 9 yameweka nguvu pale!!
 
Hivi unadhani China na Russia hawajaingia indirect Iran kwamba zile drone za Iran kule Russia hazina return yoyote kwa Iran?
Russia akitoa hypersonic missiles alizopiga kule Kyiv mbona Israel ingekua imeshapoteana. Na Israel hana ubavu wa kupambana na Russia ndio maana kule Syria hajagusa hata kambi moja ya Russia otherwise itafutwa siku hiyo hiyo kwenye ramani ya dunia.

Size yake ni hivi vinchi vidogo dogo ila hao wakubwa atasagwa sagwa ndani ya masaa.
 
Kwa nn Iran haisaidiwi?
Sababu inajitegemea ila hao Israel mnaowasifia ni vita gani wamewqhi pigana bila ya waume zao USA? Si unaona hata trump amekataa wasimuue Ayatollah na wameufyata maana yeye ndio mwenye maamuzi ya mwisho sio Netanyahu.

Na Trump alivyo kichaa siku Netanyahu akileta ujuaji asishangae Israel ikageuzwa majivu na Trump. Narudia humu kila siku, Israel itakuja kufutwa kwenye ramani na hao hao wazungu sio waarabu ile siku ambayo atagusa maslahi yao.
 
Vivyo hivyo, Iran nayo si peke yake, ina uhusiano wa karibu na Russia, China na makundi kama Hezbollah.
Acha uongo urusi na China zimesaidia nini hii vita? Hao hezbollah wanapewa silaha na Iran sio vice versa.
Taifa makini huangalia maslahi, si ushabiki kama Iran inavyofanya.
Ushabiki gani? Mbona hao Israel wana support magaidi kama PKK, HTS, SDF na RSF ya Sudan ila hamsemi ni ushabiki? Ila Iran iki support waasi mnasema inafadhili ugaidi? Ni sahihi kweli?
 
Brother utunzi wao huoni kama unawalipa sasaivi ?inatembeza kichapo kwa kila asiye wabariki na kuwapa amani wambarikio
Kwani kipindi Hitler anachinja wayahudi million 6 hawakua na "Mungu wa Israel"? Au kipindi wanasambaratishwa na dola ya kirumi hawakuwa na Mungu?

Ni ajabu sana mtu kudhani mwenye kutumia silaha za mmarekani kuua wasio na hatia eti ndio kigezo cha kwamba Mungu kawabariki? Kwahiyo hata Putin kutesa Ukraine ina maana ni baraka za Mungu pia?

Embicile
 

Acha utoto soma hapo taarifa za western media wakikataa uhusika wa Jordan, US kwenye kumsaidia Israel. Let alone UK nayo imetoa logistical support. Hao US Mpaka refuelling ya ndege vita wamefanya wao. Israel wanajaza mafuta ndege zao wakiwa Iran ndani mle mle. Usiwe kilaza dogo.
 
Unadhani china na urusi wao hawagopi? Russia au china hawana uwezo wa ku battle na Israel ndio maana wanamkaushia Iran
Duuuh! Vituko haviishi duniani jf imevamiwa na kundi la watu wajinga
 
Nionyeshe huo mstari, nachojua hilo alisema kwa Abraham ambaye ni baba wa mataifa mengi sio Israel tu. Hata hao palestine sijui Iran ni offshoot ya Abraham!!
Keshameshezwa ujinga. Hawa walokole hata kama maandiko yapo wazi atachoambiwa na mchungaji wake ndiyo hicho hicho.
 
Yes hata Israel sera yake ni 1 state solution yaani kuimeza Palestine kuwa ndani ya Israel. So wote wana sera ya one state solution.
Vita ya Israel na Iran Ina uhu siano gani na Palestina ambayo siyo nchi na haitakuwa nchi?[
Iran ilishatangaza kuifuta Israel kwenye uso wa Dunia hapo tu hamstahili kuwa na zana za Nuclear huwezi kumkabidhi rungu kichaa!!
 
Ungejua kama huyo mungu mwenyewe unayemsifia hapa ni Marekani (Taifa la uovu duniani), nina uhakika kabisa usingekuja na hii risala yako ya kufikirika.

Kwa taarifa yako huyo mungu wa Israel ni shetani (Marekani) Na ndiyo maana kila siku anafurahia kuua, kufunga, kutesa, nk.
 
vp mungu wa charambe,huko kwenu bado anapumua kweli!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…