zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 24,622
- 40,803
Mbona hata dola za kiislam kama Ottoman zili dominate hadi kuiteka hiyo Israel ina maana Mungu wa Israel hakuwepo enzi hizo au unataka kusema Mungu wa waislam ni mkuu kuliko wa Israel?Wamejitungia tena mkuu, kumbe katika kujitungia kuna nguvu ya kuamini utunzi?
Mbona sasa jamaa wanaonekana kutisha? Middle yote wanaichakaza watakavyo
Udini kivipi mkuuMbona hata dola za kiislam kama Ottoman zili dominate hadi kuiteka hiyo Israel ina maana Mungu wa Israel hakuwepo enzi hizo au unataka kusema Mungu wa waislam ni mkuu kuliko wa Israel?
Nachosema ni kwamba tusiingize udini kwenye machafuko, unaweza kuwa wa shetani na ukashinda vita.
Sio kwei, mpaka Jordan na Saudi zimeingia vitani na Iran. Hao US wametoa silaha kibao kama bunker busters!! Kwani kuna aibu gani kukiri Israel anasaidiwaIran anachapika na Israel tu
Udini ndo umetufikisha hapa.Hakuna cha mungu wa Israel hapa acheni upuuzi vijana wangu.
Huo udini sijui utawafikisha wapi.
Mungu wa Iran,ndio mkuu,uwekewe vikazo na Marekani,na bado Taifa la Iran,liko na nguvu ya kuwepo na kupigana,wakati Israel hana vikwazo vyovyote na qnasaidiwa na Marekekani na washirika wake.Iran kwa miongo minne amekuwa akitengeneza na kutekeleza mikakati ya kuiangamiza Israel. Katika foreign policy yake kuifuta Israel ni moja ya sera zake za nje. Iran ameunda vikundi vya kigaidi kuizunguka, Israel katika nchi za Lebanon, Syria, Iraq, Yenen na Gaza; vikundi hivyo amevipatia mafunzo ya kijeshi, silaha na fedha.
Pia akaanzisha program ya kutengeneza silaha za nyukliax huku akijificha katika matumizi ya nishati, akikataa kukaguliwa na shirika la nyuklia la kimataifa pia akirutubisha uranium juu ya kiwango cha matumizi ya kiraia hadi sasa amerutubisha hadi asilimia 60 ambapo kwa matumizi ya kiraia kiwango hicho hakina kazi.
Pia ametengeneza makombora ya umbali mrefu kwa maelfu kama sehemu ya maandalizi ya kuiangamiza Israel.
Mungu wa Israel ni mkuu na hashindwi. Israel chini ya uongozi shupavu wa Netanyahu amevifyeka vikundi vya magaidi vya hamas, hizbollah, Syria na kusaidia kuangusha serikali ya Asad ya syria.
Sasa Israel anaponda kichwa cha gaidi mkuu mwenyewe Iran; amepiga plant za nyuklia, viwanda vya kuzalisha makombora, amewaua wanasayansi wa nyuklia 14, makamanda wakuu wa jeshi, IRGC.,Quds na military intelligence jumla kama ishirini hivi, amepiga vifyatulio vya makombora, maghala ya makombora, rada za kutungulia ndege , na sasa anatawala anga ya Iran ikiwemo Tehran anaingia anapiga na kutoka anavyotaka.
Hadi sasa upande wa Israel haujapoteza hata askari mmoja ni raia 24 tu waliopoteza maisha ndani ya Israel.
Iran amezuia vyombo vya habari vya nje kuripoti kutoka ndani ya Iran.
Iran sasa kupitia nchi za ghuba za Oman, Qatar na Saudi Arabia anaziomba zimuombee kwa Trump ili Israel isitishe vita wazungumze, yaani nchi aliyotaka kuifuta katika ramani ya dunia leo anaitaka wazungumze.
Israel lazima watamuua Ayatolla Khamanei iki awafuate magaidi wenzake waliokwisha kuuawa na Israel aliokuwa anawachochea.
Israel ni nchi ndogo sana kulinganisha na Iran lakini ameweza kusafiri kilometa zaidi ya elfu mbili kwenda na kurudi na kumpiga Iran huko kwake anavyotaka. Hii kazi Israel ataikamilisha ndani ya wiki mbili hivi.
Mungu wa Israel amejidhirisha ukuu wake.
ATUKUZWE MILELE MUNGU WA ISRAEL.
Hivi kuna nchi zinafuata dini na maadili kama za Afrika ila mbona ni maskini na njaa? Ina maana hatuna Mungu?Udini kivipi mkuu
Unadhani hao wanaopigana hawamuombi Mungu wanayemeamini??
Siyo kweli. Wanaowachapa Iran ni wanawake wa Kiyahudi. Hizi nyingine ni porojo za kujifariji za siku zote miaka yoteSio kwei, mpaka Jordan na Saudi zimeingia vitani na Iran. Hao US wametoa silaha kibao kama bunker busters!! Kwani kuna aibu gani kukiri Israel anasaidiwa
Mkuu, una hoja nzuri mnoWapi imeandikwa Abraham alikua muisrael? Nachofahamu Israel inaanzia kwa yakobo kwenda mbele ila Abraham alimzaa mpaka Ishmael ambao wote humu mnafahamu ni mataifa mengine ya mashariki ya kati.
As a matter of fact Abraham alizaa watoto watano nje ya Isaka na wote hao walikua na mataifa hapo mashariki ya kati na wote hao wana baraka za Abraham.
Sielewi kwanini Israel inajimilikisha Abraham ambaye literally ni baba wa mataifa mengi.
Brother utunzi wao huoni kama unawalipa sasaivi ?inatembeza kichapo kwa kila asiye wabariki na kuwapa amani wambarikioWapi imeandikwa Abraham alikua muisrael? Nachofahamu Israel inaanzia kwa yakobo kwenda mbele ila Abraham alimzaa mpaka Ishmael ambao wote humu mnafahamu ni mataifa mengine ya mashariki ya kati.
As a matter of fact Abraham alizaa watoto watano nje ya Isaka na wote hao walikua na mataifa hapo mashariki ya kati na wote hao wana baraka za Abraham.
Sielewi kwanini Israel inajimilikisha Abraham ambaye literally ni baba wa mataifa mengi.
Israel ilishafutwa siku nyingi hii iliyopo sio Israel iliyotajwa kwenye InjiliWale wote wenye macho ya rohoni ndiyo wanajua maana ya hii post....Iran wanejipa kazi isiyowezekana ya kuifuta Israel, hii haitakuja kutokea kamwe ni kujilisha upepo Tu
Huu ndio ukweliWapi imeandikwa Abraham alikua muisrael? Nachofahamu Israel inaanzia kwa yakobo kwenda mbele ila Abraham alimzaa mpaka Ishmael ambao wote humu mnafahamu ni mataifa mengine ya mashariki ya kati.
As a matter of fact Abraham alizaa watoto watano nje ya Isaka na wote hao walikua na mataifa hapo mashariki ya kati na wote hao wana baraka za Abraham.
Sielewi kwanini Israel inajimilikisha Abraham ambaye literally ni baba wa mataifa mengi.
🤣🤣🤣Hivi kuna nchi zinafuata dini na maadili kama za Afrika ila mbona ni maskini na njaa? Ina maana hatuna Mungu?
Bro unachanganyanya maifali,Issue sio kuogopa nachosema Israel hashambulii Iran au Houthis au Hezbollah akiwa peke yake. Hata rockers za Iran zinalipuliwa na nchi zaidi ya 5 ikiwemo Jordan ila Iran anapigana mwenyewe. Sasa hapaswi kusifia Israel, asifie mme wake yaani USA maana ndio anatoa pesa, silaha na back up kwenye kila vamizi ya Israel.
Nani kakwaimbia hao ndio waisrael, wamejazana wa ukrain na warusi hapoHuyo baba wa mataifa ni mtu wa taifa lipi kati ya hayo?
Halafu ukumbuke, Mungu anaposema, anayekubariki nitambariki, na anayekulaani nitamlaani
Maana yake ni kuwa, hakuna baba wa mataifa kama Kusingekuwa na huyo Ibrahimu ndani ya Israel
Na siju zote baraka huanzia nyumbani na kisha kuenea sehemu sehemu
Hao unsowataja, wanamlaani Ibrahimu aliye asili ya Israel na myahudi, watabarikiwa vipi mkuu
Ni upambavu mtu kushabikia udini.Udini ndo umetufikisha hapa.
Dini zote ni ungese mtupu
Ni kweli usemacho, lakini ni kweli hakuna kabisa mwisrael hapo?Nani kakwaimbia hao ndio waisrael, wamejazana wa ukrain na warusi hapo
Israel inapewa msaada wa matrillion kila mwaka na USA so bajeti ya jeshi lake ni juu sana. Pia hakuna shambulizi kafanya bila support ya US na UK na Hao EU members wengine, so hii vita haijawahi kuwa ya Israel pekee kama mnavyopotosha humu.
Iliyo tajwa kwenye injili ni ipi na wanaishi wapi? Hebu fafanua tukueleweIsrael ilishafutwa siku nyingi hii iliyopo sio Israel iliyotajwa kwenye Injili