Mr Never Mind
JF-Expert Member
- Mar 1, 2019
- 287
- 335
- Thread starter
-
- #101
ubarikiwePole sana kwa kipindi unachopitia naamini ni wakati mgumu sana na sio tu kwa sababu huna pesa lah hasha unaweza ukawa na Pesa lakini bado ukapitia hali hiyo nakushauri nenda Kanisani utapata amani na pia omba sana uwe na amani Mungu ni mwema na mwaminifu atakusaidia.
Nitumie no yako dm nikurushie kidogo cha kukubust leo na kesho
mimi nipo sai mkuu pambana yatapita tu mkuunipo ilemi
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiki kipindi napitia maisha magumu sana
Nimefukuzwa kazi
Nadaiwa kodi ya miezi mitatu
A 5000 ya umeme
Sina hela
Ndani nina unga tu mboga na hata mchele sina
Nipo mikoa ya mbali na nyumbani
Nimejifungia ndani nashindwa kutoka coz mama mwenye nyumba ni kivuruge na ananidai 5000
Nina mpenzi ambaye anajitahidi kufahamu kipindi ninachopitia ila bado hapati jibu coz i act as if sina matatizo
Nina siku mbili sijala kwa ridhaa yangu yaani nakula kwa kuibia
Natamani kurudi home nauli sina na naona ni udhaifu mkubwa kurudi kukaa na mama na am 24yrs old
Akili inachoka nahisi kuanguka
EEE MUNGU PAMOJA NA MAPITO HAYA NISIFIKIE KUKATA TAMAA
HAYA NI MADOGO KULINGANISHA NA WENZANGU
NISITAMANI KUJIUA
KWA AKILI YA KIBINADAMU UWEZO UNANISHINDA
NAKUOMBA MUNGU UTIMIZE HAJA ZA MOYO WANGUView attachment 1062423
Bring it onRudisha mpira kwa kipa, nakumbuka kipindi hiki kilinikuta nilimpoteza mchumba wangu hivihivi nikarudi home wazazi wakanitia nguvu nikarudi town tena kupanga mashambulizi huwa ni nyakati za mpito tu kuna neema yaja mbele usikate tamaa.Kuna wimbo wa Psquare (jina siukumbuki) ulikuwa unanifariji sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
ngoja nifanye hii na mm
Usikate tamaa..
Mimi niliachishwa kazi ghafla na nilikuwa na deni benki marejesho 159.500 kwa mwezi, nililima matikiti eka moja yakaoza yote shambani (vyote hv vilitokea kwa wakati mmoja) hapo naishi nyumba ya kupanga kuna kulipa kodi na umeme na maji....kilikuwa kipindi kigumu mno katika maisha yangu lkn sikukata tamaa.
Nilipambana hivyo hvyo wakati mwingine nakosa hela ya kula nakula kwa baba mwenye nyumba. Sikutafuta ndg wala kuenda nyumbani ( wazazi wangu walishafariki so sina nyumbani) Lakini nilivuka. Nilikuwa namchotea mchanga mama mmoja jirani, alikuwa anajenga ndo alikuwa ananipa hela kidogo napeleka benki mpaka deni likaisha
Dah..miaka 24 mdogo? Kama angeshtuka mapema sasa hivi ana mtoto wa 6yrs....Halafu ukute tena mwakani eti naye anapanga foleni ya kupiga kura...Mungu ibariki Tanzania[emoji18]
Sent using Beretta ARX 160
nmekutumia kakaNitumie no yako dm nikurushie kidogo cha kukubust leo na kesho
Mimi ni dada [emoji4]
Mimi ni dada lol [emoji23]Ukisikia uanaume ndo huu...kikubwa ni kutokuwa a woga au aibu..hongera sana best
bro kutoka moyoni nashukuruNitumie no yako dm nikurushie kidogo cha kukubust leo na kesho
Nasisitiza mimi ni dada sio kaka lolbro kutoka moyoni nashukuru
nimepata
umenipa ushauri, nguvu ya kupambana, na kunisaidia juu
naamka tena kaka
promise sitakuangusha
Sent using Jamii Forums mobile app