Zuriel_cfc
JF-Expert Member
- Nov 2, 2017
- 4,105
- 9,115
Usikate tamaa..hujaipitia kipind ka hichi n shukuru napitia mimi pengine we ungejiua
Sent using Jamii Forums mobile app
Rudisha mpira kwa kipa, nakumbuka kipindi hiki kilinikuta nilimpoteza mchumba wangu hivihivi nikarudi home wazazi wakanitia nguvu nikarudi town tena kupanga mashambulizi huwa ni nyakati za mpito tu kuna neema yaja mbele usikate tamaa.Kuna wimbo wa Psquare (jina siukumbuki) ulikuwa unanifariji sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah..bosi unajitafutia lawama na kutoaminika tena....Kama angekuwa na "juhudi" angetengeneza kwanza uji apone njaa....kuliko alivyolala na njaa siku akiwa na unga ndani....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu una elimu kidogo? Kuna kazi mahali ya ila mshahara ni juhudi yako. Uzuri wanatoa buku 5 ya nauli ya kila siku.
Sent using my Nokia Torch
Dah...yaani eti ana unga ndani ..anakaa na njaa siku 3..anashindwa hata kupika uji ? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Beretta ARX 160
mkuu nimeishia 6 ila vyeti vyangu vyote vipo poa four nia 2 advance 3 siku apply chuo ili nipambane since hajira ni ngumMkuu una elimu kidogo? Kuna kazi mahali ya ila mshahara ni juhudi yako. Uzuri wanatoa buku 5 ya nauli ya kila siku.
Sent using my Nokia Torch
nakuja pmMkuu una elimu kidogo? Kuna kazi mahali ya ila mshahara ni juhudi yako. Uzuri wanatoa buku 5 ya nauli ya kila siku.
Sent using my Nokia Torch
mkuu kumiliki smart phone sio sababu ata mateja wenyew wanamiliki sik iziPesa utakayopata fanyia mtaji. Yaani huna pesa ya kula ila mkononi unamiliki smartphone???
Sent from my iPhone using JamiiForums
sijakaa na njaa siku 3 nisingekua hiv nimekula kwa kuibiaDah...yaani eti ana unga ndani ..anakaa na njaa siku 3..anashindwa hata kupika uji ? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Beretta ARX 160
Dah..miaka 24 mdogo? Kama angeshtuka mapema sasa hivi ana mtoto wa 6yrs....Halafu ukute tena mwakani eti naye anapanga foleni ya kupiga kura...Mungu ibariki Tanzania[emoji18]huyu na age inasumbua..mwanamum kamili hawez fikia huku...!
nawadogo wa 3 wakike wawil hili swala linafanya nione bora kufia ugeninimkuu mimi sikushauri urudi hom ni bora ukakae kwa mshikaji aku escoti siku mbili tatu ila ukisema urudi hom kama una wadogo zako watakuona fala
Mungu atatushika mkono kwa tunayoyapitia....Hiki kipindi napitia maisha magumu sana
Nimefukuzwa kazi
Nadaiwa kodi ya miezi mitatu
A 5000 ya umeme
Sina hela
Ndani nina unga tu mboga na hata mchele sina
Nipo mikoa ya mbali na nyumbani
Nimejifungia ndani nashindwa kutoka coz mama mwenye nyumba ni kivuruge na ananidai 5000
Nina mpenzi ambaye anajitahidi kufahamu kipindi ninachopitia ila bado hapati jibu coz i act as if sina matatizo
Nina siku mbili sijala kwa ridhaa yangu yaani nakula kwa kuibia
Natamani kurudi home nauli sina na naona ni udhaifu mkubwa kurudi kukaa na mama na am 24yrs old
Akili inachoka nahisi kuanguka
EEE MUNGU PAMOJA NA MAPITO HAYA NISIFIKIE KUKATA TAMAA
HAYA NI MADOGO KULINGANISHA NA WENZANGU
NISITAMANI KUJIUA
KWA AKILI YA KIBINADAMU UWEZO UNANISHINDA
NAKUOMBA MUNGU UTIMIZE HAJA ZA MOYO WANGUView attachment 1062423
mkuu sitakuangusha naanza upyaUsikate tamaa..
Mimi niliachishwa kazi ghafla na nilikuwa na deni benki marejesho 159.500 kwa mwezi, nililima matikiti eka moja yakaoza yote shambani (vyote hv vilitokea kwa wakati mmoja) hapo naishi nyumba ya kupanga kuna kulipa kodi na umeme na maji....kilikuwa kipindi kigumu mno katika maisha yangu lkn sikukata tamaa.
Nilipambana hivyo hvyo wakati mwingine nakosa hela ya kula nakula kwa baba mwenye nyumba. Sikutafuta ndg wala kuenda nyumbani ( wazazi wangu walishafariki so sina nyumbani) Lakini nilivuka. Nilikuwa namchotea mchanga mama mmoja jirani, alikuwa anajenga ndo alikuwa ananipa hela kidogo napeleka benki mpaka deni likaisha
mbeya sehen gan maana mim mwenyew nipo mbeya mkuumbeya hom iringa
Sent using Jamii Forums mobile app
asanteUsikate tamaa kabisa mkuu,anza kutoka nje tu na uchukulie kawaida kwanza,maana ukijifungia utapata mawazo sana,kazi yako inaonekana ilikua inakuweka bize kiasi hukupata mda wa kufahamiana na watu wa jamii hio,Fanya uwezalo kulipa kodi ya mwezi ili uwe huru,hapo unaweza kuanza kutoka na kufahamiana na watu tofauti na utapata mawazo mapya.
Muombe Mungu sana maana ndie ameruhusu upitie hili akiamini utaweza,hivyo endelea kumsihi akupe nguvu na maarifa ya kushinda mtihani huu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Rudisha mpira kwa kipa, nakumbuka kipindi hiki kilinikuta nilimpoteza mchumba wangu hivihivi nikarudi home wazazi wakanitia nguvu nikarudi town tena kupanga mashambulizi huwa ni nyakati za mpito tu kuna neema yaja mbele usikate tamaa.Kuna wimbo wa Psquare (jina siukumbuki) ulikuwa unanifariji sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
haina shida we una msapoti mtu anajiita roho mbayahuyu na age inasumbua..mwanamum kamili hawez fikia huku...!