Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 76,867
- 110,240
Asante kwa kuniwrka kwenye kumbukumbu my dear.
Leo nitapita kabatini. Its been too long.
Unataka ukasuuze koo sio jirani...si mchezo
Asante kwa kuniwrka kwenye kumbukumbu my dear.
Leo nitapita kabatini. Its been too long.
Unataka ukasuuze koo sio jirani...si mchezo
Nifanyeje matako yasitingishike Nitembeapo - JOGOOMTUNDU tzKinachonichekeshaga zaidi ni jinsi yeye anavoipotezea kabisa hiyo story hajawahi kuigusia hata kidogo pamoja na kuandamwa sana lol
Bujibuji kuburuzwa na gari zaidi ya umbali wa mita mia si mchezo! Hiyo mikono ya handbag ilikuwa ya katani? Duu pole zake shemejiSi utani ila ni kweli tupu.ndicho ninachomuomba Mungu anisaidie, snipe nguvu ya kukiongea hata Kilosa kichungu kiasi gani. Maandiko yanasema ukweli utatuweka guru.
Back to the topic;
Nimekuwa na hulka ya kuongea uwongo kama Watanzania wengi tulivyo.Juzi Nilikuwa natakiwa mahali SAA kumi na moja kamili alfajiri, nikaa bar hadi usiku wa manane nikashindwa kuamka mapema.
Ilipofika SAA 11 na nusu nkaanza kupigiwa simu, pombe ilikuwa nyingi kichwani kiasi kwamba sikuweza kusikia miito ya zile simu hadi niliposhtuliwa na wife.
Nikaamka mbiombio na kukimbilia Kwenye Gari, nikawadanga waliokuwa wakinipigia Kuwa ninakaribia eneo LA miadi. Speed ilikuwa Kali na utulivu ulikuwa mkubwa barabarani.
Mbele kuna maungio ya Barbara, ghafla Gari iliyokuwa ikitoka Kwenye barabara ndogo ikaingia kwa kazi main road, tukagonganga, UKAWA ni mwisho wa hadithi.
Laiti ningesema ukweli kuwa ndio naamka wale niliokuwa nawawahi wangefanya maarifa mengine na wangeendelea na shughuli na kuniacha nije taratibu.
Kisa cha Pili.
Wife alikuwa anafanya kazi Masaki na tulikuwa tukiishi Kijitonyama. Tulikuwa na Gari moja mbali tulikuwa tukilitumia wote wawili.
Siku hiyo niliondoka na Gari muda wa SAA kumi wife akaamza kunipigia ili nimfuate. Nilikuwa mbali sana nikawa nadanganya kuwa nakaribia kufika.
Wife akasubiri akachoka, akaanza kutembea kwa miguu. Alikuwa amebeba handbag ghafla nyuma ikatokea Gari, vijana wakashika handbag, wakamburuza wife kwa zaidi ya umbali wa mita Mia, akajeruhiwa vibaya, akapoteza Pesa na Baraka muhimu.
Nisingedanganya yasingemkuta. Mungu Naomba usafishe kinywa changu kijue kuongea ukweli ili niwe huru, nisipatwe na mabalaa na mikosi.
Amen
Kinachonichekeshaga zaidi ni jinsi yeye anavoipotezea kabisa hiyo story hajawahi kuigusia hata kidogo pamoja na kuandamwa sana lol
aksante kwa kutudanganya kijana,ingawa hapa hutujui lipi limekupata kwa uongo huu
Teh Teh umenikumbusha issue ya giresi daaa! ICHANA nahisi nimekumiss sana...
Mmh umepotea sana! Hakuna siku niliyo cheka kama siku ya giresi..hakika mods sio wa kuchezea wakikuchoka lazima ujute kuifahamu jf..daa jamaa alitamani kufuta uzi lakini wapi aliishia ku edit tuu...