Mungu nisaidie, uongo unanitesa na kunigharimu

Mungu nisaidie, uongo unanitesa na kunigharimu

daaah!! Na hapa tena umedanganya ahaa!ahaa #bujibuji unatisha sana toka naijua jf
 
Uongo imekuwa jadi ya watz wengi. Hadi tunakera kwa kweli. Hata kwenye mahusiano watu ni waongo sana tu.
 
"Grace" na ile ya "masab....uri" kutingishika pia ulidanganya?
 
Uongo imekuwa jadi ya watz wengi. Hadi tunakera kwa kweli. Hata kwenye mahusiano watu ni waongo sana tu.

mkuu Eli79 kwenye mahusiano usipodanganya hawa dada zetu watakunyoosha.........wenyew hawapend watu wakwel hahahaaa
 
Last edited by a moderator:
nimependa tu alivyoiandika hii kwa heruf kubwa 'UKAWA' wee jamaa hatar sana...ujumbe umefka
 
Huyu jamaaa ni muongo mpaka confection yake pia ni uongo.
Kweli dhambi ya uongo iko damuni.
 
Kinachonichekeshaga zaidi ni jinsi yeye anavoipotezea kabisa hiyo story hajawahi kuigusia hata kidogo pamoja na kuandamwa sana lol

Hapa namkumbukaga jirani yangu Watu8. Japokuwa amenitosa siku hizi.

Ile ishu ya Gilesi ni kwamba ni account na ID ya mke wake na kwa vile walikuwa wanatumia same IP address mods waliunganisha ID.

Eti Bujibuji?
 
Last edited by a moderator:
Hapa namkumbukaga jirani yangu Watu8. Japokuwa amenitosa siku hizi.

Ile ishu ya Gilesi ni kwamba ni account na ID ya mke wake na kwa vile walikuwa wanatumia same IP address mods waliunganisha ID.

Eti Bujibuji?

Habari yako jirani...

Mambo yamekuwa mengi siku hizi kipenzi ila wakumbukwa sana nami...
Bujibuji ni mtu wa masikhara ila thread yake ya leo nimesoma ujumbe tu na hayo maelezo mengine nimeyaacha...
 
Last edited by a moderator:
Niambie mkeo anafanya kazi masaki sehemu gani ili nikathibitishe kama hujasema uongo.
 
Habari yako jirani...

Mambo yamekuwa mengi siku hizi kipenzi ila wakumbukwa sana nami...
Bujibuji ni mtu wa masikhara ila thread yake ya leo nimesoma ujumbe tu na hayo maelezo mengine nimeyaacha...

Asante kwa kuniwrka kwenye kumbukumbu my dear.

Leo nitapita kabatini. Its been too long.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom