Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 360,147
- 829,071
Pray. .. Usiache sala usiache maombi.. Sala na maombi vina nguvu sanaLet the will of God be done
Sent using Jamii Forums mobile app
Pray. .. Usiache sala usiache maombi.. Sala na maombi vina nguvu sanaLet the will of God be done
unapatikana pande zipi boss!Dah huu mwaka sitoboi asee
Yani naziona 6 feet hizi hapa live kabisa bila chenga!
Mambo ni mengi mengi mno : Yameniandama!
Lord have Mercy!
Nimeipenda avatar yako mkuu😊unapatikana pande zipi boss!
AmenStay strong, time heals
NAWEZAHakika penye uzito basi wepesi upo.
Hakika giza totoro ndio ishara ya mapambazuko.
Kuna wanayopitia zaidi yako hivyo sema unaweza mkuu.
Sure.Umeokoka?
Dodomaunapatikana pande zipi boss!
Thanks
AmenPray. .. Usiache sala usiache maombi.. Sala na maombi vina nguvu sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Au sio!Na ukivuta MzeeKipusa tunapika biriyani ya ngamia![]()
Shida hazina Adabu. Na zinatofautiana.Si tuna shida zetu pia
250 sio ndogo lipa kabisa mzee,hatutaki madeni sisi tuna yetu piaDah wallah sio poa!!
Mlango wa kutokea huwa upo tu,watu tulikumbwa na mambo kiasi unaona dunia iko kichwa chini miguu juu.Dah huu mwaka sitoboi asee
Yani naziona 6 feet hizi hapa live kabisa bila chenga!
Mambo ni mengi mengi mno : Yameniandama!
Lord have Mercy!
Pole sana, Mungu ni mwema akuvushe salamaDah huu mwaka sitoboi asee
Yani naziona 6 feet hizi hapa live kabisa bila chenga!
Mambo ni mengi mengi mno : Yameniandama!
Lord have Mercy!