Mungu nihurumie mimi mkosefu

Mungu nihurumie mimi mkosefu

Dah huu mwaka sitoboi asee

Yani naziona 6 feet hizi hapa live kabisa bila chenga!

Mambo ni mengi mengi mno : Yameniandama!

Lord have Mercy!
Hakika penye uzito basi wepesi upo.

Hakika giza totoro ndio ishara ya mapambazuko.

Kuna wanayopitia zaidi yako hivyo sema unaweza mkuu.
 
Back
Top Bottom