Mungu nihurumie mimi mkosefu

Mungu nihurumie mimi mkosefu

Huyu Mzee Kipusa ana matatizo ambayo ni makubwa sana.Namuonea huruma,kama sikosei alikuwa mtumishi wa Umma Akafutwa kazi na alileta Uzi na Uzi wake ulifutwa,sema humu ndani mtu anaweza andika kitu watu wakahisi Utani ila unakuta mtu anapitia Hali ngumu...
Kama Kuna watu wenye uwezo wa kumsaidia waweze kumsaidia hata kumkutanisha na watu sahihi aweze kueleza matatizo yake kinaghaubaga.Naimani serikali yetu sio adui wa wananchi,serikali yetu ni rafiki wa Wananchi wote....
Mimi na kumbukumbu za Uzi wake tu.....
Naimani watu wa Tume ya Utumishi wa Umma,na vitengo vingine wapo humu pia..Kwenu kumsaidia Huyu Mtanzania mwenzetu Wakati huu...

Pole sana Mzeekipusa naimani Mungu atakuvusha salama katika kipindi hiki Kigumu...
 
Alijifanya mzalendo ukinyooka hamia taasisi za wito zisizo na kona ili ustaafu vizuri wabongo sio.unakumbuka ishu ya yule police Arusha alijifanya msafi yaliyomkuta.
 
Mkuu

A couple of days ago nilikuwa katika situation ngumu kidogo..na nilileteta uzi hapa..sasa sijui mods waliwaza nini wakafuta..

Lakini,MUNGU alinivusha katika namna ya kushangaza sana.

Put your trust on him,He will make a way
Amen
 
Huyu Mzee Kipusa ana matatizo ambayo ni makubwa sana.Namuonea huruma,kama sikosei alikuwa mtumishi wa Umma Akafutwa kazi na alileta Uzi na Uzi wake ulifutwa,sema humu ndani mtu anaweza andika kitu watu wakahisi Utani ila unakuta mtu anapitia Hali ngumu...
Kama Kuna watu wenye uwezo wa kumsaidia waweze kumsaidia hata kumkutanisha na watu sahihi aweze kueleza matatizo yake kinaghaubaga.Naimani serikali yetu sio adui wa wananchi,serikali yetu ni rafiki wa Wananchi wote....
Mimi na kumbukumbu za Uzi wake tu.....
Naimani watu wa Tume ya Utumishi wa Umma,na vitengo vingine wapo humu pia..Kwenu kumsaidia Huyu Mtanzania mwenzetu Wakati huu...

Pole sana Mzeekipusa naimani Mungu atakuvusha salama katika kipindi hiki Kigumu...
Daah , nimeusoma huu ujumbe mpaka MACHOZI yamenitoka.

Ooh God!
 
Dah huu mwaka sitoboi asee

Yani naziona 6 feet hizi hapa live kabisa bila chenga!

Mambo ni mengi mengi mno : Yameniandama!

Lord have Mercy!

Unaumwa au ni changamoto zingine, please share, whata wrong?
 
Back
Top Bottom