Kwa upeo wangu kiimani najua Tanzania kuna Madhehebu mengi ila mungu ni Mmoja. Sijui ww majimshindo.Hatutaji madhehebu kwenye KATIBA bali tuanataja jina la MUUMBA.
Kwa upeo wangu kiimani najua Tanzania kuna Madhehebu mengi ila mungu ni Mmoja. Sijui ww majimshindo.Hatutaji madhehebu kwenye KATIBA bali tuanataja jina la MUUMBA.

Nilipomsikiliza Jaji Mkuu mstaafu Barnabas Samatta akileta hoja hii nilikuwa na mixed feelings:

Kubwa zaidi ni kwamba kwa miaka mingi Tanzania tumezoeshwa kusikia kuwa Serikali haina dini ( secular state) na dhana hii haijawhi kuchambuliwa watu wakaelewa maana yake ni nini.Je, katika hali tuliyo nayo sasa, ambapo kuna chembechembe za udini katika kila neno linalotamkwa au kitu kinachofanywa, itatafsiriwa vipi pale Katika itakapoingiza "MUNGU" ?

Tanzania tuna matatizo makubwa sana na tunahitaji divine intervention kujinasua.Lakini kama tutamuingiza Mungu kwenye Katiba basi hatuna budi tuheshimu na kuheshimiana katika imani zetu za kidini. Isije ikatokea wale wenye kufanya vurugu za kidini wakajifanya wanatumia "haki yao ya kikatiba' kufanya au kudai wanayoyadai.

Watanzania tujihadhari sana na kila hatua tunayochukua hata kama ni kwa nia njema.

Kinachonishangaza ni kuwa; watu huwa wanakuwa washauri wazuri saana wakiwa pembeni. Ila wao wakiwa ndio wenye madaraka, hawapendi kusikia mabadiliko. Huyu Samatta alikuwa na nafasi kubwa saana na haya anayozungumza si mapya katika utendaji wa serikali na watu wake, mbona hakuwahi kusema? Huyo Mungu anayetaka aingie kwenye katiba ni yupi? Na kina nani watakubaliana naye? Divine intervention, how na mipaka yake ipi? Au kiongozi wa dini ndio awe Rais maana hiyo ndio purely divine intervention. Au kuwaongezea mamlaka viongozi wa dini? In either way hajawa wazi. Madhambi na mlolongo wa udini si mpya! Madai ya katiba si mapya!
MUNGU NDANI YA KATIBA YA WATANZANIA HONGERA JUDGE SAMATA
My hope sasa Mungu anajibu kupitia wazee wachache wenye BUSARA, kama Judge Samata.Nilikua napata shida sana ni jinsi gani MUNGU tusivyomshirikisha kwenye nchi yetu.
Eti serikali yetu aina dini,ukweli uwa nikisikia kauri hii inaniumiza sana sana sana sanaaaaaaaaaa.Sawa yaweza kua iliwekwa kwa ajili ya kuvuka hatua fulani na si forever kwa hilo sina utata nalo.
Hivyo kwa ujio wa katiba mpya ni wakati sasa wa kuandika maneno kama Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania watu wake wanaamini katika MUUMBA.
Aijarishi muslim or Christian kila mmoja wao anaamini katika muumba.Hivyo kwa kutaja hivyo dhamira ya kushitakiwa na nafsi kwa wale wote wanaopata viapo kupitia katiba watafungwa kiroho na dhamira pindi wanapokiuka katiba kwa kuwatend wananchi na nchi ndivyo sivyo kwa matendo yasiyo na UTU. Kumcha mungu ni chanzo cha maarifa.
Hakika Mungu anasikia, pole zangu kwa wale wote wasiotaka kusikia maono ya watu kama Judge Samata. Gharama yao kwa kuyapuuza maono hayo itakua kubwa kwao wao na vizazi vyao waanze mapema kwa kusikiliza kilio cha katiba mpya kama Kongamano lilivyoongea.
Deus Spes Nostra.

Nadhani tatizo siyo kuwa nje na kutoa ushauri au kuwa ndani na kushindwa kufanya kitu.

Utakumbuka hata yeye amechambua vizuri mno kuonyesha tatizo liko wapi - limo ndani ya mfumo.Alitoa mfano wa namna mwananchi alivyopeleka swala la kikatiba mahakamani, mahakama ( Jaji Lugakingira) akatoa tuzo iliyoonyesha mwananchi kashinda lakini Bunge haraka sana likatunga sheria iliyoweza kuifutilia mbali hukumu na haki iliyotolewa na mahakama. Kimsingi kama mfumo ni mbaya hata uwe na ujasiri vipi kuleta mabadiliko, hayo mabadiliko hayatatokea,