Mungu na ulimwengu

Mungu na ulimwengu

Hawezi kutoka nje ya sayari yake sababj haiwezekani na haitokuja kutokea.

Pili ni viumbe gani wenye akili kuliko binadamu ?
Angalia nafasi ya hiyo nyota ya maisha yetu jua katika hiyo galaxy
Angalia na hiyo nyingine uone Jua lipo wapi uchukue tafakari je Mungu ameumba ulimwengu usiopimika kwa mwanadamu na kumuweka mwanadamu katika ka sayari kadogo tu au kuna viumbe wengine?

Hii ni galaxy yenye billion za nyota na Galaxy zipo mamilion je unafikiri quintillion za nyota zilizo umbali usiohesabika quintillion zote zinasapoti uhai wa mwanadamu?

Uki zoom unaweza kuhesabu hizo nyota?
795px-Planet_Discovery_Neighbourhood_in_Milky_Way_Galaxy.jpeg
284361main_kepler-target-region-galaxy_946-710.jpg
howmanyplane.jpg
 
Mkuu jitahidi kutumia kichwa vizuri Mungu katupa akili tuzitumie usiendeshwe na mihemko ya dini tafta ukweli kwa kujifunza
Naaam indeed "" unaongea vyema kabisa ""...
 
Wakuu ni jambo la heri kumtukuza MUNGU,alitoa upendeleo zaidi kwa wanadam kuliko viumbe wengine,lakini mara nyingi wanadam tunamkwaza kwa matendo yetu maovu. Mungu anao uwezo wa kufan ya lolote na kumaliza jeuri na kiburi cha binadamu pia kama maandiko yasemavyo katika Biblia-Takatifu,tujiulize na kutafakari kabla ya uumbaji wa ulimwengu na viumbe hai MUNGU aliumba na kuishi na nini,je anao uwezo wa kuangamiza ulimwengu mzima
We unamjua kiranga akiuona uzi huu uwe tayari kuutetea hasaidiwi mtu humu
 
wasalaam,ni katika kukumbushana kuhusu Mungu anavyotusitiri ingawa twatenda maovu mengi sana. Maandiko katika Biblia Takatifu yatuasa ya kwamba shetani yu tayari kutubu akipewa nafasi hata sekunde moja bali kwa mwanadamu imekuwa ni vigumu kukiri na kumtumikia Bwana,ndipo tujiulize maksudi ya Mungu yanalenga nini kwa vizazi hivi vya wanadamu,walimwengu tumetawaliwa na tamaa za duniani hasa utajiri wa njia za mkato jambo amb alo ni chukizo kwa mwenyazi Mungu,ndipo tujiulize uumbaji wake alikusudia nin i kwa mwanadam au bila kutuumba wanadamu angepungukiwa nini, na kwa nini hao wazungu walitoa baadhi ya vitbu katika BIblia
Kama mumgu mwingi wa Rehema mbona kashindwa kusamehe shetani? Huoni hizo ni hadithi
 
hata hivyo MUNGU atabaki kuwa Mungu mwenye mamlaka dhidi yetu na kila kiumbe,tujikite katika uhalisia tuachane na unadhiria yamkini Mungu atatusamehe makosa yetu
Mungu hawezi kutusamehe makosa yetu maana hana hata tone la msamaha au kusamehe kwa sababu hata Adam na hawa hakuwasamehe

Maana angewasamehe pasingekuwa na yaabu magonjwa n.k
 
Yote haya yanatokea kwenye vichwa vya watu kwa sababu hawajui hesabu...

Hivi unaanzaje kuwazia vitu ambavyo huwezi kuvibadili?

Wewe namna ulivyo hukujadiliana na mtu ili uzaliwe ... ni kwa nini sasa unaanza kujadili mambo ambayo hayakuhuusu?

Tafuteni ufalme wa mbinguni na haya yote mtazidishiwa ... HAYA YOTE NI YAPI?

Haya yote ni pamoja na kupata ujuzi uongozao milele.... Mshana Jr. alishasema siku nyingi kuwa uhai ni energy na energy huwa haipotei... wasi wasi wenu nini? Hakuna kupotea ila tutaenda sehemu tofauti... mlengo wa kushoto wataenda kwa shetani ... mlengo wa kulia tutakuwa kwa Baba Muumba mbingu na nchi.
 
Inategemea na Mungu yupi has a mnaemuongelea hapa
 
Back
Top Bottom