Ncha Kali
JF-Expert Member
- Sep 19, 2019
- 15,400
- 29,339
Mungu hayupo na kama yupo ajitokeze kuwasaidia waumini wake ktk janga la corona
Na hapo ndio utajua kuwa stori za mungu ni hadithi za kutunga
Bali stori za shetani ni za kweli..?
Mungu hayupo na kama yupo ajitokeze kuwasaidia waumini wake ktk janga la corona
Na hapo ndio utajua kuwa stori za mungu ni hadithi za kutunga
Umeelewa point yangu?Bali stori za shetani ni za kweli..?
Umeelewa point yangu?
Swali langu kwann huyo mungu anashindwa kusaidia waumini wake ktk corona ?Bila shaka, kama stori za ‘mungu’ ni za kutunga.... za wewe wa jina Iblis Bin Shetan ni za kweli..?
A soul..energy... Once created can neither be destroyed, it can only be transferred.
Thus we will exists for million of years..we are immortal divine energy.
Kusoma Biblia ni kitu rahisi sana, asingeuliza swali kwani hata yeye ameshasoma hiyo Biblia. Mpska mtu anauliza swali hapa anatemea majibu kutoka kwenye akiri na uwelewa watu sio references kutoka kwenye maandiko ya watu waliokufa hatuwezi ata wahoji hapa..Tunasubiri Recreation mkuu.
Bibilia Inasema Kilele cha Uovu wa Dunia hii Ni Kuangamizwa kwa Dunia hii yote. Ila watakao mwamini Yesu, na Kuacha Uovu Wataokolewa.
Hilo walilijua tangu wakina Ibrahimu enzi hizo dunia ikiwa bado bikrabikra haijanajisika sana.
Bibilia inasema Ibrahim aliishi kwenye hema huku akili yake ikiutazamia Mji ambao misingi yake haijajengwa na mwanadamu.
Mwanadamu anayejitambua hawezi kuweka kambi katikati ya jalala. Hapa tunapita tu mkuu.
Hivi kulingana na maandiko hivi nafsi za wapenda wetu huwa zinafanya nini wakati zikisubiri siku ya hukumu kulingana na Imani za ukristo na uislamu pia ni kwa namna gani unaizungumzia swala la rebirth Kama moja ya Imani..naomba ufafanuzi legend Mshana Jr:A soul...! Once created can never be destroyed
In deed!Is there life after death? This question asked in the book known #ICRIDIBLE_OF_THE_WORLD_THAT_POTENTIAL,through common thought it EASY to answer that question,but in-deep mind tough to got solutions.So that can we APRICIATE only GOD knows everything about us i.e (OUR LIFE&DEATH)?let God known as The 1st and the LAST
perhaps through theory but
The truth of that still in secret because (we)people dies day after day no one who have arise to prove that!!
There is life after Death but should one understand that There is no Death anyway.
Nothing dies but rather the body wears out.
The Soul Is,Was and ever shall be.
The assumption of the body is a part time deal it ends but life continues...
The concept of life and death can not get full filled by the brain and even if one tries to explain...no better words yet...
Emptiness,Voidness and Vanity is actually a deal...!
Matter is always an illusion...physicality is a blockage of our minds....!
Yes-There is life after Death.
Helping materials-The book with Deepak Chopra-Life after Death....!
You do not put childish things away but rather get along with them while not working on them anymore. It's because they constitute to a greater extent, a foundation of what made you to be who you are today. There is a very severe adverse effect in completely putting away all childish things in that you are more likely to become a "tabular rasa" more or less like a remote controlled creature who can merely bow down at the touch of a button, like a marinette on a string"when I was a child I spoke as a child,I understood as a child ,I thought as a child,But when I \Became a man I put all childsh thiongs a way"hollybibble1corrinthians13:11
Paul the Apostle written in the #HollyBibble as I quote to reminds corrinthians about steps of human being especially childish to manYou do not put childish things away but rather get along with them while not working on them anymore. It's because they constitute to a greater extent, a foundation of what made you to be who you are today. There is a very severe adverse effect in completely putting away all childish things in that you are more likely to become a "tabular rasa" more or less like a remote controlled creature who can merely bow down at the touch of a button, like a marinette on a string