hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 51,312
- 73,140
ndio kawaida yao hao " udini mwanzo mwishoJamaa analeta utani mwenye vitu serious..
ndio kawaida yao hao " udini mwanzo mwishoJamaa analeta utani mwenye vitu serious..
Mungu wa biblia mbona kuna vitu inaonyesha vilikuwepo kabla yake! Giza,space na maji!.
Mbona unavuka Mipaka Sasa Mkuu

Hapo katikati ya galaxy usikute ndo kijiwe cha Mungu, ni akili za usiku tuAngalia nafasi ya hiyo nyota ya maisha yetu jua katika hiyo galaxy
Angalia na hiyo nyingine uone Jua lipo wapi uchukue tafakari je Mungu ameumba ulimwengu usiopimika kwa mwanadamu na kumuweka mwanadamu katika ka sayari kadogo tu au kuna viumbe wengine?
Hii ni galaxy yenye billion za nyota na Galaxy zipo mamilion je unafikiri quintillion za nyota zilizo umbali usiohesabika quintillion zote zinasapoti uhai wa mwanadamu?
Uki zoom unaweza kuhesabu hizo nyota?View attachment 806862View attachment 806869View attachment 806872

Hata Mungu mwenyewe hana uwezo wa kuharibu na kuangamiza roho?
To my opinion, a human's soul is never created but relocated as part of God's soul, having been there in His possession from eternity.A soul...! Once created can never be destroyed
Binadamu ana mwanzo ila mwisho hana. Binadamu kufa siyo mwisho wa maisha yake, bali ni mwanzo wa maisha mengine mapya kwenye ulimwenngu mwingine. Na kama maisha ya binadamu hayana mwisho, kwa watu ambao akili yao ya maisha ni nzuri sana katika kupima maisha kwa kutumia probability (kumbuka kuwa probability ya uhalisia katika maisha ya kila siku haihitaji mtu kujua hesabu za probability ile tuliyofundishwa darasani, inahitaji mtu kuwa tu na common sensei), basi ni wazi kabisa kuwa probability ya kuishi maisha mazuri baadaye kutokana na kutenda mema sasa, ni kubwa zaidi kuliko ile ya kuishi maisha mazuri baadaye wakati hukiwa unatenda mabaya sasa. Probability ya kuishi maisha mazuri baadaye wakati ulikuwa unatenda mabaya ni ndogo mno kwa sababu hata katika misha haya ya sasa tuliyonayo hapa duniani, bado facts zinathibitisha hivyo, kwamba mabaya hayalipi isipokuwa mazuri.Yote haya yanatokea kwenye vichwa vya watu kwa sababu hawajui hesabu...
Hivi unaanzaje kuwazia vitu ambavyo huwezi kuvibadili?
Wewe namna ulivyo hukujadiliana na mtu ili uzaliwe ... ni kwa nini sasa unaanza kujadili mambo ambayo hayakuhuusu?
Tafuteni ufalme wa mbinguni na haya yote mtazidishiwa ... HAYA YOTE NI YAPI?
Haya yote ni pamoja na kupata ujuzi uongozao milele.... Mshana Jr. alishasema siku nyingi kuwa uhai ni energy na energy huwa haipotei... wasi wasi wenu nini? Hakuna kupotea ila tutaenda sehemu tofauti... mlengo wa kushoto wataenda kwa shetani ... mlengo wa kulia tutakuwa kwa Baba Muumba mbingu na nchi.
A soul can be destroyed by the creater who created it.Remember before the existance of that soul there was no soul.So the one who brought it to existance can certainly destroy it.atlist that is what i know.Lakini ningependa kujua ni kwa nini roho haiwezi kuhilikiwa.Mshana jrA soul...! Once created can never be destroyed
Mungu hayupo na dhana nzima ya "origin" inatokana na udogo wa mawazo yetu.Kiukweli ukiniambia kabla ya MUNGU kulikwepo na nini siwezi kukujibu na kitu kigumu sana ambacho kimewasumbua watu wengi sana hasa wanasayansi.
Yani origin ya MUNGU bado ni ishu nzito sana ambao sishani kama itakaa ipatikane.
MUNGU mwenyewe ni roho na roho ni kitu kisichoonekana wala kushikika sasa sijui tunafanyaje kwa kweli.
Ila kwenye maswala ya time unaweza isimamisha kama ukitembea na speed ya light nakuunga mkono kabisa. Nilishai kusoma kitabu fulani. Icho kitabu kinasema kama ukiweza kutembea na speed ya light basi unaweza rudisha wakati nyuma ukaishi hata enz za yesu huko na mitume. Sayansi ni pana sanaMungu hayupo na dhana nzima ya "origin" inatokana na udogo wa mawazo yetu.
Kimsingi, time haipo, time ni kivuli kinachotegemea vitu vingine kama space na motion. Ukiondoa space na motion time nayo inaondoka, ukiweza kwenda at the speed of light, time inasimama, kwako wewe unaweza kutoka sehemu moja ya ulimwengu mpaka sehemu nyingine bila time kupita, hata oawe mbali vipi.
To photons, the univerae is timeless. Time does not move.
Ukisoma quantum physics, quantum entanglement na Einstein's Relativity utaona hayo.
Dhana nzima ya "ili hiki kifanyike, inabidi hiki kianze" -cause and effect, ina msingi katika time, kwa sababu bila time hakuna cha kwanza na kinachofuatia.
Na kama time si kitu cha msingi, cause and effect si kitu cha msingi.
Kwenye quantum physics kuna effects zinazotokea kabla ya causes na causes zinazotokea baada ya effects. Yaani katika quantum physics inawezekana wewe ukawa umemzaa baba yako mzazi.
Alice in Wonderland style.
Mambo mengi bado hayajaeleweka vizuri, ila ulimwengu huu tuliouzoea ni mdogo sana ukilinganisha na ukweli.
Hata habari za Mungu ni za maajabu ya kitoto ukilinganisha na ukweli halisi.
Hakuna Mungu, habari za chanzo zinategemea muda na muda si kitu cha msingi, hivyo habari za chanzo si za msingi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawezi kutoka nje ya sayari yake sababj haiwezekani na haitokuja kutokea.
Pili ni viumbe gani wenye akili kuliko binadamu ?
Ni kwa Sababu akili yako imeishia hapo .
nani alijaribu kusafiri hivyo au ni nadharia??Mungu hayupo na dhana nzima ya "origin" inatokana na udogo wa mawazo yetu.
Kimsingi, time haipo, time ni kivuli kinachotegemea vitu vingine kama space na motion. Ukiondoa space na motion time nayo inaondoka, ukiweza kwenda at the speed of light, time inasimama, kwako wewe unaweza kutoka sehemu moja ya ulimwengu mpaka sehemu nyingine bila time kupita, hata oawe mbali vipi.
To photons, the univerae is timeless. Time does not move.
Ukisoma quantum physics, quantum entanglement na Einstein's Relativity utaona hayo.
Dhana nzima ya "ili hiki kifanyike, inabidi hiki kianze" -cause and effect, ina msingi katika time, kwa sababu bila time hakuna cha kwanza na kinachofuatia.
Na kama time si kitu cha msingi, cause and effect si kitu cha msingi.
Kwenye quantum physics kuna effects zinazotokea kabla ya causes na causes zinazotokea baada ya effects. Yaani katika quantum physics inawezekana wewe ukawa umemzaa baba yako mzazi.
Alice in Wonderland style.
Mambo mengi bado hayajaeleweka vizuri, ila ulimwengu huu tuliouzoea ni mdogo sana ukilinganisha na ukweli.
Hata habari za Mungu ni za maajabu ya kitoto ukilinganisha na ukweli halisi.
Hakuna Mungu, habari za chanzo zinategemea muda na muda si kitu cha msingi, hivyo habari za chanzo si za msingi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Thibitisha Mungu yupo.Nakupinga kwenye dhana ya Mungu hayupo. Mungu yupo. KIla kwenye maswala ya time unaweza isimamisha kama ukitembea na speed ya light nakuunga mkono kabisa. Nilishai kusoma kitabu fulani. Icho kitabu kinasema kama ukiweza kutembea na speed ya light basi unaweza rudisha wakati nyuma ukaishi hata enz za yesu huko na mitume. Sayansi ni pana sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Hesabu zinazokuwezesha wewe kuposti kwenye internet hapa JF ndizo zinazoelezea nadharia hizo.nani alijaribu kusafiri hivyo au ni nadharia??
☕☕☕☕☕☕Hesabu zinazokuwezesha wewe kuposti kwenye internet hapa JF ndizo zinazoelezea nadharia hizo.
Sasa kama unabishia hizo nadharia, bishia kwamba ume post hapa JF pia.