Nelly
JF-Expert Member
- Jan 25, 2020
- 5,666
- 11,123
☕☕☕☕☕☕Hesabu zinazokuwezesha wewe kuposti kwenye internet hapa JF ndizo zinazoelezea nadharia hizo.
Sasa kama unabishia hizo nadharia, bishia kwamba ume post hapa JF pia.
☕☕☕☕☕☕Hesabu zinazokuwezesha wewe kuposti kwenye internet hapa JF ndizo zinazoelezea nadharia hizo.
Sasa kama unabishia hizo nadharia, bishia kwamba ume post hapa JF pia.
Wewe unaweza kuthibitisha Mungu yupo?☕☕☕☕☕☕
ndio mkuuWewe unaweza kuthibitisha Mungu yupo?
Thibitisha kwamba Mungu yupo.ndio mkuu
ivi sisi binadam tuishi ndan ya dunia ama nje ya duniaUlimwengu ni mkubwa kuna viumbe wengine usijidanganye ati binadamu ndiye ana akili wakati ameshindwa hata kutoka inje ya sayari yakeView attachment 805757
outside but within the firmament (dome)ivi sisi binadam tuishi ndan ya dunia ama nje ya dunia
Ndani ya dunia ni wap chini ya ardhi ama angani?outside but within the firmament (dome)
HhhhhhhhhhhhhhhHuu kaka unaoleta ni utoto.
ndani ya dunia ni soil broNdani ya dunia ni wap chini ya ardhi ama angani?
Tunaishi ndani ya Dunia upande wa inje kwenye ardhiivi sisi binadam tuishi ndan ya dunia ama nje ya dunia
Biblia inasema" akili za binadamu na za Mungu sawa na Mbingu na ardhi"
Tunaishi ndani ya Dunia upande wa inje kwenye ardhi
Hapa ni ndani ya Dunia lakini si katika kiini cha Dunia kama ulivyotaka kufahamu.
Tungekuwa tunaishi inje ya dunia karibu na dunia tungeshikwa na nguvu ya uvutani (gravity force) na kuzungushwa kama mwezi unavyovutwa na kuzungushwa na nguvu ya uvutani ya mzunguko wa Dunia
.....Huu ni mtizamo wangu binafsi na hauna kiini kutoka kwenye maandiko yoyote matakatifu, bali ni kulingana na ufahamu wangu mimi mwenyewe tu basi.....
Nilichosema ni mtizamo wangu ni hiki. Biblia inasema kuwa Adam na Hawa waliumbwa katika zile siku 6 za uumbaji, wakati mtizamo wangu ni kuwa Adam na Hawa waliumbwa tangu zamani kwa sababu pumzi ya uhai waliyopuliziwa ilikuwepo milele, alikuwa nayo Mungu mwenyewe. Pia ule udongo Mungu aliutumia kufinyanga miili yao, tayari alikuwa ameshauumba huko nyuma, hakuumba siku hiyo ya ufinyanzi. Hata hivyo wewe uko sahaihi zaidiMbona unapenda kujidanganya namna hii, unasemaje ni mtazamo wako tu wakati huo hoja yako yote imetokana na kusoma au kusikia kulichoandikwa na wenzio.... hayo mambo ya uumbaji ni kweli kuwa hujasoma kwenye Biblia wewe..?
Plagiarism.
Nilichosema ni mtizamo wangu ni hiki. Biblia inasema kuwa Adam na Hawa waliumbwa katika zile siku 6 za uumbaji, wakati mtizamo wangu ni kuwa Adam na Hawa waliumbwa tangu zamani kwa sababu pumzi ya uhai waliyopuliziwa ilikuwepo milele, alikuwa nayo Mungu mwenyewe. Pia ule udongo Mungu aliutumia kufinyanga miili yao, tayari alikuwa ameshauumba huko nyuma, hakuumba siku hiyo ya ufinyanzi. Hata hivyo wewe uko sahaihi zaidi
Those calling themseleves emperical scientists, trying to advocate the absence of God, do know who their enemy or target is and in that matter, are not even legible to termed as emperical scientists. It's because the actual real war here is between Spritual Science and their Emperical Science. In that matter, they were supposed to argue against Spritual Science. Therefore in doing so, by defeating the arguments for Sprtual Science, they would definetely prove beyond doubts that, God does not exist. But the most perplexing thing is, how do you use one of these sciences to argue for, or against the other, whose tools are completely different?..., In other words, how can you reconcile these tools for purposes of harmonizing the findings and hence the ultimtate conclusion to be drawn from usch findings resulting from such tools? If ever attempted, I could say, this would be the most foolish and stupid kind of research in the World!Sayansi ina Mambo mengi kinadharia na kivitendo,magwiji wa sayansi wapo wanaopinga kwamba MUngu yupo na wanaoamini MUngu yupo,kila binadamu ana IMANI tofauti na ndio maana tunatofautiana mitazamo,hapo MUngu anajipambanua kwamba Ni wa pekee Kama maandiko ktk vitabu vya dini enzi za NUHU watu walidharau alipowajuza habari za SAFINA,wakifikia hatua ya kufanya choo baadae wakasafisha wenyewe kwa kutumia Kama dawa ya ukoma,hii Ni baada ya NUHU kulalamika kwa Mungu!!walitii kwa shuruti yakujiponya huku wakasafisha SAFINA......... matendo ya Mungu yanadhihirisha UPEKEE