Mungu na tma hawana ushirika | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mungu na tma hawana ushirika

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Ami, Jan 5, 2012.

 1. Ami

  Ami JF-Expert Member

  #1
  Jan 5, 2012
  Joined: Apr 29, 2010
  Messages: 1,858
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Mamlaka ya hali ya hewa Tanzania imezoea kuwazingua watanzania kwa utabiri wao wa hali ya hewa wenye maneno ya jumla jumla kama vile ukanda wote .......,manyunyu n.k.Mwaka jana walitabiri Elnino wanacnhi wakahama mabondeni matokeo yake ikawa ukame mkali uliokausha hata mabwawa ya kuzalidsha umeme.
  Mwezi Disemba mwaka jana 2011 yalikuja mafuriko ambayo hayajapata kutokea tangu kabla ya ukoloni na watu zaidi ya 40 waliokuwa mabondeni Dar wakafa.Ukweli ni kuwa TMA hawakuwa na taarifa nayo.
  Baada ya mafuriko hayo TMA walijitoa kimasomaso na kutabiri mafuriko zaidi na balaa mwishoni mwa mwaka.Mpaka leo iko kimya.Hali hii inathibitisha kwamba Mungu(Allah s.w.) hana ushirika wala biashara yoyote na TMA.
   
 2. Kinyungu

  Kinyungu JF-Expert Member

  #2
  Jan 5, 2012
  Joined: Apr 6, 2008
  Messages: 4,381
  Likes Received: 3,341
  Trophy Points: 280
  Ami unataka kusema kazi ya kutabiri ya tma ni kinyume na mafundisho ya mwenyezi mungu?
   
 3. Ami

  Ami JF-Expert Member

  #3
  Jan 5, 2012
  Joined: Apr 29, 2010
  Messages: 1,858
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Inaweza kuwa sahihi hivyo.
   
 4. v

  valid statement JF-Expert Member

  #4
  Jan 5, 2012
  Joined: Sep 18, 2011
  Messages: 2,737
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  Mbona Mungu wako wa herufi ndogo mkuu?
   
Loading...