Mungu ibariki Algeria kesho dhidi ya CCM

nzagambadume

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2018
Posts
2,430
Reaction score
5,787
Inafurahisha hata mataifa tuliyodhani yana matatizo ya kisiasa na kikabila kama vile Algeria na Kenya kutumia yanayoendelea huko Misri kuleta Umoja wa Kitaifa na kuwa kitu kimoja ila hali hiyo ni tofauti hapa kwetu ambapo tusio wana CCM tumetangaziwa wazi kwamba ile team ya CCM ambao kila mtu anajifunzia kunyoa haituhusu.

Kesho CCM hao wanaenda kukutana na mbweha the fox wa jangwani toka Algeria. Mara ya mwisho CCM hao wa Lumumba walipigwa 7-0.

Naomba nichukue nafasi kumuomba Mungu awabariki Algeria wapige goals 9-0 hapo kesho.

Amen.
 
naunga mkono hoja ndugu yangu
 
Tatizo wanaccm wanashindwa kujua mipaka ya siasa. Wao kila kitu ni siasa. Wampeleke Jecha akafanye mambo. "Taifa Stars itashinda kama vile CCM inavyoshinda kwenye chaguzi".
Wao walidhani mpira ni siasa. Nitaishabikia Taifa Stars ile isiyokuwa na chama yaani ya watu wote. Hii naichukulia kama CCM Stars.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…