Mungu hana dini

Je hayo yote mpaka kwenye ozone layer na matabaka yake ya kiulinzi havikupi ishara ya kuwepo Mungu
 
Je hayo yote mpaka kwenye ozone layer na matabaka yake ya kiulinzi havikupi ishara ya kuwepo Mungu
Vyote ukiviangalia wala havina cha kushangaza ni ili kukamilisha a stable and sustainable natural (nature) ways of things kwa kuhakikisha increase of entropy....

Kungekuwa na Mazingaombwe / A perfect system ambayo unasema ina upendo na kupenda kila kiumbe.., tusingehitaji kuwaua viumbe wengine ili sisi tupate chakula chetu (hio ni barbaric system) ila ndio the only system ambayo inaweza kuleta ecosystem (equilibrium) bila majani kuliwa yangejaa na bila kina simba kuwapunguza kina swala majani yangekwisha na bila micro organisms kuweza decomposition ya kila kiumbe basi hizo elements za kina carbon n.k. zisingeweza kurudi tena ili mchezo uendelee in a cycle (na muendeleo huu utaendelea mpaka Nishati Mama (Jua) litakapoishiwa nishati) ambayo ni Hydrogen
 
Mwezi haufungani na DINI unatuangazia mwanga tu sawa kabisa ila wapo wanaoamini kila hatua ni ibada na kuomba wakati mwingine tunajifunga sana katika mambo yetu
 
Sasa huo mzunguko haukupi mazingatio, sisi tumewezaje kutembea kwa miguu miwili na wao wakashindwa, kingine Moyo na Mapafu tangu tuzaliwe havija wahi kusimama zaidi ya kuongezeka na kupunguza kasi ya ufanyaji kazi na Allah anasema :
"Ambao wanamdhukuru Allaah kwa kusimama na kwa kukaa na kwa kulala ubavuni mwao na wanatafakari katika kuumbwa mbingu na ardhi (wakisema) “Rabb wetu, Hukuumba haya bure, Utakasifu ni Wako tukinge na adhabu ya moto". [Al-'Imraan: 190-191]
 
Sasa huo mzunguko haukupi mazingatio, sisi tumewezaje kutembea kwa miguu miwili na wao wakashindwa, kingine Moyo na Mapafu tangu tuzaliwe havija wahi kusimama
Tungetembea kwa miguu mitatu ungesema kwanini sio minne na unadhani Simba kwa mazingira yake angetembea kwa miguu miwili ingekuwa ni bora kwake ? Au tukigundua kwamba kuruka ruka ni efficient kuliko kutembea si kila mtu ataanza kuruka ?

Hakuna ajabu hapo mkuu na kama nilivyokwambia hii sio Magical ingekuwa ni Magical hata hizo habari unazonipa hapa zingekuwa transfered kwenye akili yangu automatically wala nisingehitaji proxy....
 
Thibitisha Mungu yupo.
 
Je sisimizi kuwa na miguu sita na kuna mdogo zaidi yakeni nanotech ya Mungu hivi huoni ishara ya Uweza wa Mungu hapo .
 
Je sisimizi kuwa na miguu sita na kuna mdogo zaidi yakeni nanotech ya Mungu hivi huoni ishara ya Uweza wa Mungu hapo .
Ulitaka awe na miguu mingapi ? Na kama ukisema uwezo mkubwa vipi wakoma, vipofu na wanyama wanaozaliwa na ugonjwa hivyo kushindwa kuishi na kuwa kitoweo cha wengine au kupata kifo cha matezo ni uwezo wa nani ? (Shetani) !

Kwamba Mungu alitengeneza Chawa au Kupe ili wanyonye damu za Wanyama wengine kwa faida ya nani ?
 
Katika Uislamu Asili ya vitu vyote ambavyo Allaah (Subhaanahu wa Ta‘ala) kaviumba kwa manufaa ya wanaadamu ni halali na mubaha, wala hapana la haramu ila lile ambalo Allaah (Subhaanahu wa Ta‘ala) na Mtume Wake wameliharamisha kwa kulitaja katika Shari‘ah. Allaah (Subhaanahu wa Ta‘ala) Anasema:

“Na Amekubainishieni waziwazi Alivyokuharamishieni” (6: 119).



Na Mtume (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) amesema:

“La halali ni lile Alilolihalalisha Allaah katika Kitabu Chake na la haramu ni lile Aliloliharamisha Allaah katika Kitabu Chake, na ambalo hakulitaja basi ni msamaha kwenu” (at-Tirmidhiy na Ibn Maajah).
 
Kwahio wanyama wamewekwa pale ili wawe kifurahisho cha Bin Adam..., Kwanini asingefanya watu wakashiba bila uhitaji wa kuua viumbe vingine (au kusiwe na hitaji la kula)

 
Kwahio wanyama wamewekwa pale ili wawe kifurahisho cha Bin Adam..., Kwanini asingefanya watu wakashiba bila uhitaji wa kuua viumbe vingine (au kusiwe na hitaji la kula)

Kwasababu Maisha ya dunia ni ya majaribio (imtihani)
Qur'an 67:2
"Yeye aliyeumba mauti na uhai ili akujaribuni ni nani miongoni mwenu bora kwa matendo"

Kula, njaa, kuchagua halali au haramu yote ni sehemu ya mitihani wa maadili, utii na huruma
Allah ameahidi maisha yasiyo na maumivu Peponi huko
Qur'an 50:35
"...na humo watapata watakavyo na tutazidi kuwapa zaidi."
 
Kwa hyo ulitaka akufungie maspika masikioni.?amwambie Mimi NDO MUNGUUUUUUUU!?.ametuma nitume na manabii kuja kumtangaza kupitia DINI
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…