Tipstipstor
JF-Expert Member
- Nov 29, 2021
- 1,528
- 3,359
Yaani we jamaa unajitekenya na kucheka mwenyewe....!!Nimekupa Reference hiyo ili uamini kwanza Kama Upo huko. Ningekupa Stori zingine tofauti usingeniamini na Ndivyo Vitabu vilivyoandikwa na Hao Malaika na Viumbe vingine
Nimekujibu hapo juu kwamba Nimetumia Hiyo kama Reference itakayo amini kwamba viumbe wengine pia wanaishi na Wana uhai.
Na Tunajadili kwa Kutumia Akili Timamu hatujadili kwa kutumia Maandiko. Viumbe hao Walikuwepo na Walikuwa wanaonekana kabla ya Kitabu chako hicho ndugu
Nikikuambia Mengine yanayotokea hapa Ulimwenguni utayaamini!? Maana Nataka kwanza Nikuambie Yale unayoyamini uliyoambiwa ukapotoshwa Halafu Baadae ndio uambiwe Yaliyo nje ya Vitabu.
Maana Malaika na Majini yanaonekana kwa Macho kitu ambacho kwenye Vitabu pia Ipo ingawa si kwamba Walianza Kuonekana pale kitabu chako kilipoandikwa walikuwa wanaonekana kabla ya Vitabu hivyo ndugu yangu
UPO SAHIHI watu wanatakiwa Kujua Ukweli ndio utakaowaweka Huru.Mimi Ntaendelea kusema mafundisho ya hizi dini yana ukakasi mkubwa.
Reference yangu kubwa ni Akili timamu Niliyojaliwa na Mungu wakati anamuumba Binadamu wa Kwanza.Yaani we jamaa unajitekenya na kucheka mwenyewe....!!
Katika huu mjadala reference yako kubwa hasa ni nini? Cuz inaonekana wewe huamini hivi vitabu vya dini ila ukiulizwa unakimbilia kutoa references kutoka kwenye hivi hivi vitabu vya dini
Mkuu naomba usome zaburi83:18, Mungu ni cheo, ndiomaana hata 2Wakorintho4:4-6 inamuita shetani mungu,ila jina lake kabisa ni YehovaUPO SAHIHI
Ingawa Mungu hana hayo majina Mnayompa. Yehova.. Yire.. Yahe.. Allah.. Ukifuatilia kwa Makini hayo ni Majina ya Viumbe Wanaojipa Ukuu wa Mungu asili ya Majina Hayo mengi ni Miungu siyo Mungu
Tutumie tu Akili Timamu ndugu. Mungu hana Hayo Majina.Mkuu naomba usome zaburi83:18, Mungu ni cheo, ndiomaana hata 2Wakorintho4:4-6 inamuita shetani mungu,ila jina lake kabisa ni Yehova
Kwanza sijakwambia kama biblia ndio ninayo amini ama lah na swali nilikuuliza halipaswi kujibu kwa kutumia biblia kwasababu tayari baadhi yaliyomo humo umeyakataa hivyo hupaswi kutumia kama chanzo chako cha uhakika juu jambo fulani. Naomba niambie nje ya vitabu vya dini umejuaje kuhusu malaika kuishi kwao?Nimekupa Reference hiyo ili uamini kwanza Kama Upo huko. Ningekupa Stori zingine tofauti usingeniamini na Ndivyo Vitabu vilivyoandikwa na Hao Malaika na Viumbe vingine
Nimekujibu hapo juu kwamba Nimetumia Hiyo kama Reference itakayo amini kwamba viumbe wengine pia wanaishi na Wana uhai.
Na Tunajadili kwa Kutumia Akili Timamu hatujadili kwa kutumia Maandiko. Viumbe hao Walikuwepo na Walikuwa wanaonekana kabla ya Kitabu chako hicho ndugu
Nikikuambia Mengine yanayotokea hapa Ulimwenguni utayaamini!? Maana Nataka kwanza Nikuambie Yale unayoyamini uliyoambiwa ukapotoshwa Halafu Baadae ndio uambiwe Yaliyo nje ya Vitabu.
Maana Malaika na Majini yanaonekana kwa Macho kitu ambacho kwenye Vitabu pia Ipo ingawa si kwamba Walianza Kuonekana pale kitabu chako kilipoandikwa walikuwa wanaonekana kabla ya Vitabu hivyo ndugu yangu
Elimu ya Viumbe vya Mungu ipo kabla ya Biblia . Ipo na Ilitunzwa kwa mababu zetu Malaika.. Majini.. Wachawi.. Walozi.. Viumbe mbalimbali vipo kabla Elimu hiyo ya Vitabu vilivyoandikwa hapa juzi juzi tu na Kuletwa na Wakoloni ila Kwa Vile Wakoloni waliita Elimu hiyo Ni Ushenzi ndio maana wakakutungia Malaika wao wanaomtaka wao ili uwaone ni wemaKwanza sijakwambia kama biblia ndio ninayo amini ama lah na swali nilikuuliza halipaswi kujibu kwa kutumia biblia kwasababu tayari baadhi yaliyomo humo umeyakataa hivyo hupaswi kutumia kama chanzo chako cha uhakika juu jambo fulani. Naomba niambie nje ya vitabu vya dini umejuaje kuhusu malaika kuishi kwao?
Elimu ya Viumbe vya Mungu ipo kabla ya Biblia . Ipo na Ilitunzwa kwa mababu zetu Malaika.. Majini.. Wachawi.. Walozi.. Viumbe mbalimbali vipo kabla Elimu hiyo ya Vitabu vilivyoandikwa hapa juzi juzi tu na Kuletwa na Wakoloni ila Kwa Vile Wakoloni waliita Elimu hiyo Ni Ushenzi ndio maana wakakutungia Malaika wao wanaomtaka wao ili uwaone ni wema
Elimu yetu ilikuwepo kabla ya Elimu ya Wakoloni. Kuhesabu kulikuwepo kabla ya Wakoloni. Herufi zilikuwepo kabla ya Wakoloni
Bro mbona kama umepagawa, mimi nimekuombea Dua jema tu Mungu asikunyime haki yako kama alivyomnyima mmoja wa manabii wa kale....Umeona Mlivyo na Chuki. Sasa Mungu mwenye Vyote Hana Chuki na Wala hana Hisia za Chuki na Kiumbe chake. Ndio maana Mnaombeana Mabaya na Huko kanisani Mnaenda Kila Siku
Mmejaa Chuki Mioyoni mwenu Hasa Mkiambiwa kwamba Hamna Ukweli ndani Yenu. Kwa Mujibu wa vitabu Mungu ametuma Manabii, mitume na Watu kibao wameshindwa Kuirekebisha Dunia kwa Akili yako ya Kawaida Mungu angeamua Kutuma Kitu Kinaweza Shindikana Kweli
Kama Akituma Kitu kikashindikana Kurekebishika Basi Si Mungu mwenye Vyote huyo. Na mpaka anamtuma Mwanae wa Pekee mnamkataa
Siku ukielewa wewe ni nani utakuja kusoma teba post zangu hapa. Sasa hivi endelea na unachoamini.Ila wewe unakuwa ni Nini?
Kwahiyo Siku ukifa watu wakakuta Mwili wako Upo sehemu watasema Huyo si Bill itabidi waende kumtafuta Bill sehemu alipo
Na sio kweli unachoamini ni ukweli ni uongo piaKwani kwenye Vitabu si Wameandikwa. Hata Huko makanisani si yanatoa Ushuhuda kwamba Yamezaa na Waumini na Hayawezi kuwatoka kwa Sababu yanafamilia na Huyo yaliyemuingilia.
Kwani si Hata vitabu vimeandikwa kwamba Yesu aliyauliza yakasema Yana Majeshi
Ni swala tu la Kutumia Akili. Hata Vitabu vimeandika Majini na Mashetani yana Ufalme wake.
Viumbe Vinazaliana Maana ndivyo Mungu ameviumba
Hata Kama Siyo ukweli kwako haimaanishi kwamba Si UKWELI.. UONGO una Muda wake ukifika Unaisha watu wanajua Ukweli ila UKWELI hauna mwisho. Ukatae huo ndio ukweli ukubali utabaki kuwa ni Ukwlei
Elimu yako kuhusu MUNGU iko chini.Kumekuwa na Dhana POTOFU na Dhana Hii imewaharibia sana Akili watu wa madhehebu. Unakutana na Mtu anakuambia, Mungu wangu yu Hai
Kitu kilicho hai ni kiumbe tu. Mwenye Enzi Mungu yupo nje kabisa na Vinavyoishi, yeye aliviumba Viwe vinaishi na akaviweka Katika Sayari mbalimbali vikae huko
Yeye hakai na Viumbe vyake wala Hasaidiani mambo yake na Viumbe vyake alivyoviumba.
Kwahiyo ni makosa makubwa kumfananisha Mwenye Enzi Mungu na Uhai wa Viumbe vyake na kusema Eti Yeye yu Hai, kumpatia Sifa za Viumbe (anakaa, anasema, anatuma malaika, anatamaa, ana wivu n.k n.k ni Makosa na Upotofu mkubwa sana unaoendelea huko Wanakoabudu
Mmeambukizwa Imani za Viumbe waovu na Wenye dhambi (Mashetani, Malaika, Wachawi n.k) Na mnapokuwa mnamwabudu Mungu huyo mnamfananisha na Nyie mlivyo. Mnampa Sifa za Nyie mlivyo(uhai, tamaa, wivu, Utakaji wa vitu). Mungu hana Sifa za Ubinadamu wala sifa za kiumbe chake chochote kile
ASANTENI
Anayekunyima Si Mungu. Mungu hana Chuki na Viumbe vyake hata Siku moja. Hakuchukii hao wanaochukia si Mungu. Najua kuna Siku utajua ukweli halafu utajua nani kapagawa kati yangu au wewe unayeona maandiko hayo Ni ya MunguBro mbona kama umepagawa, mimi nimekuombea Dua jema tu Mungu asikunyime haki yako kama alivyomnyima mmoja wa manabii wa kale....
.... usije kumjua Mungu kwa kupitia kuonja uchungu wa nafsi.
Ayubu 27:2
βHakika kama Mungu aishivyo, aliyeninyima haki yangu, Mwenyezi ambaye amenifanya nionje uchungu wa nafsi
Unaposema elimu maanake kunahusisha mafundisho. Je wakina nani waliotoa elimu hiyo? Na walijua vip?
Halafu bado haujanijibu swali langu, nikipi kimekufanya uamini kuwa malaika wapo? Na kipi kilichokufanya uamini kuwa malaika wanaishi kama ilivyo kwa majini?
Elimu yako kuhusu MUNGU iko chini.
MUNGU ni Roho.
Tena ni BABA WA ROHO ZOTE.
Wewe umekariri ndugu yangu. Ndio mana Unasema haya ambayo huwezi kuyatetea kwa Hali halisi. Na kwa Akili timamu umeyatamka tu kwa ulivyokaririshwaRoho zilikuwepo,Zipo na Zitakuwepo milele.
God is all What Is and what Is Not!!!
Hoja yako Haina reference (labda kama sijakuelewa), hivyo hamna kitu Cha kujadili......Anayekunyima Si Mungu. Mungu hana Chuki na Viumbe vyake hata Siku moja. Hakuchukii hao wanaochukia si Mungu. Najua kuna Siku utajua ukweli halafu utajua nani kapagawa kati yangu au wewe unayeona maandiko hayo Ni ya Mungu
Nishakupa Jibu ndugu yangu mbona. Elimu ilikuwepo kabla ya Hivyo Vitabu usione kwamba hao Mitume walioandika kwenye Vitabu ndio walikuwa na Elimu pekee. Elimu ilikuwepo na Mababu na Mababu walitunza Elimu hizo.. Nimekuambia hao viumbe tunaishi nao kila siku na Wapo hapa Duniani ki magendo.
Ngoja nikupe mfano Halisia wa Watu waliowahi kukutana na Hao Viumbe
Siku niliyokutana na jini kwenye daladala
Moja ya kitu ambacho sitaweza kukisahau katika maisha yangu ni siku niliyokutana na jini kwenye daladala nakumbuka ilikuwa ni mwaka 2019 wakati nipo Chanika nilikiwa natoka kariakoo narudi ghetto ilikuwa ni mida ya saa 1 usiku sasa nikiwa kwenye gari akaja mdada mmoja akapanda kwenye dala dala...www.jamiiforums.com
Anza Hapo kwanza[emoji1483] usipoamini basi Endelea Kutafuta Elimu ya Ya Viumbe hao kwanza
Usiende Nje ya Mada. Labda wewe unipe Reference zako jinsi gani Mungu Usipompa Vitu kama Sadaka.. ZAKA anakunyima Baraka na Wewe kupata Mabalaa hapa DunianiHoja yako Haina reference (labda kama sijakuelewa), hivyo hamna kitu Cha kujadili......
hamna Cha kukusaidia zaidi ya kukukaribisha Mirembe!
Mi nipo wodi 15 hapa Mirembe nimeanza kupona nitaruhusiwa Muda si mrefu.
Hapo umeniambia kuhusu kukutana na jini, hoja yangu ipo kwenye wewe umejuaje kuhusu habari za malaika.
Sijakataa uwepo wa elimu kabla ya kuja kwa vitabu bali nataka uniambie ni nani alikuwa mtoaji wa hiyo elimu kwasababu elimu huendana na mafundisho je hao mababu zetu walifundishwa na nani? Au mtu anaweza kupata elimu pasipo kufundushwa?