Tipstipstor
JF-Expert Member
- Nov 29, 2021
- 1,528
- 3,357
Yaani we jamaa unajitekenya na kucheka mwenyewe....!!Nimekupa Reference hiyo ili uamini kwanza Kama Upo huko. Ningekupa Stori zingine tofauti usingeniamini na Ndivyo Vitabu vilivyoandikwa na Hao Malaika na Viumbe vingine
Nimekujibu hapo juu kwamba Nimetumia Hiyo kama Reference itakayo amini kwamba viumbe wengine pia wanaishi na Wana uhai.
Na Tunajadili kwa Kutumia Akili Timamu hatujadili kwa kutumia Maandiko. Viumbe hao Walikuwepo na Walikuwa wanaonekana kabla ya Kitabu chako hicho ndugu
Nikikuambia Mengine yanayotokea hapa Ulimwenguni utayaamini!? Maana Nataka kwanza Nikuambie Yale unayoyamini uliyoambiwa ukapotoshwa Halafu Baadae ndio uambiwe Yaliyo nje ya Vitabu.
Maana Malaika na Majini yanaonekana kwa Macho kitu ambacho kwenye Vitabu pia Ipo ingawa si kwamba Walianza Kuonekana pale kitabu chako kilipoandikwa walikuwa wanaonekana kabla ya Vitabu hivyo ndugu yangu
Katika huu mjadala reference yako kubwa hasa ni nini? Cuz inaonekana wewe huamini hivi vitabu vya dini ila ukiulizwa unakimbilia kutoa references kutoka kwenye hivi hivi vitabu vya dini
usipoamini basi Endelea Kutafuta Elimu ya Ya Viumbe hao kwanza
Watoaji wa Elimu hiyo ni Wazee wetu na Mababu zetu