So kwa akili yako wakati anaumba hivi vyote alikuwa Hai au amekufa?Umeniuliza inakuwaje Mungu si hai akaumba Kitu kisicho hai. Nimekujibu kwa kukuambia Ameumba Vitu vingi Visivyo na Uhai pia na Vilivyo na Uhai
Mawe/Michanga/Dhahabu hayana uhai ila kayaumba. Kwa Mantiki yako ili jiwe liumbwe Mungu angetakiwa asiwe hai ili aliumbe hilo jiwe.
Unaposema Mungu yu Hai Maana Yake Umemuweka Kama Kiumbe ulivyo wewe wakati Hayupo hivyo. Vilivyo na Uhai na Kuumbwa Hufa
Haya umeyatoa wapi?Pole sana ndugu, maadam umeamua kuanza safari ya kumjua Mungu atakusaidia uendelee kumwelewa zaidi. Safari ndio umeianza lakini weka akili yako wazi kupokea michango ya wadau upate uelewa zaidi.
1. Mungu alimwumba mtu kwa mfano wake. (Udongo jumlisha pumzi ya Mungu).
2. Mungu aliumba mbingu na nchi na vyote viijazavyo.
Inawezekana vipi kisicho na uhai kiumbe vilivyo na uhai.
Mungu akasema......na ikawa. Kabla ya kusema nini kinatangulia. Ni kuwaza au mawazo. Kwahiyo mawazo (niite consciuosness kwa kizungu cha Uingereza) ndiyo kiini cha uhai. Leo wewe ukipoteza consciousness umekwisha.
Endelea kujifunza ndugu. Mungu yu hai na anaishi milele.
Mungu ni nini/nani? Je nawezaje kuuhisi uwepo (presence) yake?
Ila kuna uwezekano pia miungu ilikuwepo na ikaumba binadamu. Ila kwa bahati mbaya kama ambavyo iliweza kuwepo ikawa haipo tena sasa kwa njia zilizo nje ya uelewa wa binadamu, miungu imetoweka. Hayupo hata Mungu mmoja tena🙏🏿🤔Kumekuwa na Dhana POTOFU na Dhana Hii imewaharibia sana Akili watu wa madhehebu. Unakutana na Mtu anakuambia, Mungu wangu yu Hai
Kitu kilicho hai ni kiumbe tu. Mwenye Enzi Mungu yupo nje kabisa na Vinavyoishi, yeye aliviumba Viwe vinaishi na akaviweka Katika Sayari mbalimbali vikae huko
Yeye hakai na Viumbe vyake wala Hasaidiani mambo yake na Viumbe vyake alivyoviumba.
Kwahiyo ni makosa makubwa kumfananisha Mwenye Enzi Mungu na Uhai wa Viumbe vyake na kusema Eti Yeye yu Hai, kumpatia Sifa za Viumbe (anakaa, anasema, anatuma malaika, anatamaa, ana wivu n.k n.k ni Makosa na Upotofu mkubwa sana unaoendelea huko Wanakoabudu
Mmeambukizwa Imani za Viumbe waovu na Wenye dhambi (Mashetani, Malaika, Wachawi n.k) Na mnapokuwa mnamwabudu Mungu huyo mnamfananisha na Nyie mlivyo. Mnampa Sifa za Nyie mlivyo(uhai, tamaa, wivu, Utakaji wa vitu). Mungu hana Sifa za Ubinadamu wala sifa za kiumbe chake chochote kile
ASANTENI
Tatizo lako unadhani huo mwili wako ndiyo wewe. Utakesha unamtafuta Mungu na hautamwona kamwe.Viumbe wa Mungu wote Wanamtegemea Mungu.
1. Unakula Chakula Kutoa katika Ardhi yake
2. Unapumua
Kama Unataka kuhisi uwepo wake Basi huwezi maana Yeye hana Mwili kama Ulionao wewe. Hisia za Kushika na Kuona Zinatoka Katika mfumo wako wa Fahamu ulio KATIKA mwili wako.
Sasa ndugu yangu Mbona Wewe ushasema YU Hai Milele. Sasa si ushampatia Picha ambayo hata Ukiambiwa useme ana Uhai Gani hutoweza. Kitu kilicho HAI kina Kufa na Kina Mwisho wake kama Wewe binadamu ulivyo hai mana Yake Utakufa.Mwanadamu kumuwaza Mungu hutaweza kumpatia picha mwisho unaweza ukajikuta unakufuru tu.
MWENYEZI MUNGU YU HAI MILELE DAIMA.
Hivi ulishwahi kujiuliza hizi mbingu zimewezaje kuwa juu yetu pasi na kuwekewa nguzo yoyote ile unayoiona?
Ni nani anaezishikilia hizi mbingu zisitufunike tulio chini yake?
Vp huyo anaezishikilia akisinzia sisi tuliochini yake tutakuwa katika hali gani?
Ukishajiuliza swali hili ndio utajua kuwa MUNGU yupo hai au amekufa!
Kwenye vitabu husika.Haya umeyatoa wapi?
Mungu hana chuki na Viumbe wake wenye Chuki ni wewe na Mimi. Na Majini na MASHETANI na malaika ambao ndio wanakuambia Mungu anachuki na ukimjadili anakuadhibu, usipompa Sadaka anakuadhibu, usipompa Zaka anakuadhibuNinatamani kuandika ila naona kama nitapoteza muda huyu jamaa anabeep mahali ambapo hata wewe ukisahau yeye hasaau kamwe atakuja kukulipa sawa na uzi huu tena umeujua ukweli ila umechelewa
Babu zetu walio ishi na kufa kabla ya hivi vitabu havijaja,walimjua Mungu ?Kwenye vitabu husika.
UNAPOTEAMungu hana chuki na Viumbe wake wenye Chuki ni wewe na Mimi. Na Majini na MASHETANI na malaika ambao ndio wanakuambia Mungu anachuki na ukimjadili anakuadhibu, usipompa Sadaka anakuadhibu, usipompa Zaka anakuadhibu
Mungu Hayupo kama Wewe unavyo chukulia na Alivyoandikwa kwenye Vitabu
Hayo mambo ya uchawi kwasasa kushadadia naona sawa na kushadadia uwezo mdogo wa kuchanganua na kutafakari changamoto mbalimbali za kimaisha.Wewe ni Binadamu una uhai ila Unatengeneza magari na Vitu visivyo na Uhai kama Wewe. Muujiza wa Mungu umetenda hayo Yote umeumba
MALAIKA, MAJINI, MASHETANI, n.k nao wameumbwa kama Wewe na Hawaonekani na Hata Mchawi anakuja Kwako anachukua Vitu na Kukuwangia Ila Humuoni jiulize kwanza Hayo kabla Hujauliza muujiza wa Mungu umetendaje Haya Yote
Labda kama Huamini kama Huyo huyo aliyemuumba Malaika ndio kamuumba Jini na Wewe binadamu
Na pia Ujiulize kiliumbaje Mawe na Miamba Ambayo haina Uhai pia
Kama imani ya mtu ina nguvu kiasi hiki Mungu wa nini sasa.Unapoamini jambo lolote imani yako inakuunganisha na jambo hilo na muda huo unaanza kuona matokeo yake. Imani inaamsha na kuaksi mazingira, hali halisi na mipango yote inayoshabihiana na imani yako. Yote yanatokea kwa kadri au ukubwa wa imini yako kwani unashughulika na roho.
Hii ni karakana yako ambapo ulimwengu wako utauona katika mwelekeo wa imani uliyonayo na kila kitu kitatokea kama unavyoamini.
Watu wawili wanaweza kwenda kwa Mungu, mganga au mchawi wakafanikiwa au mmoja asifanikiwe mwingine akafanikiwa. Kwanini? IMANI......kubwa au ndogo.
Ukiamini uchawi utauona, ukiamini Mungu utamwona. Ukipanda bangi utaotesha na kuvuna bangi wakati huo ukipanda mahindi eneo hilo hilo utaotesha na kuvuna mahindi.
Imani yako itakufaa
Kila Kiumbe kilichoumbwa na Mungu kilipewa mahali pa kukaa na Uwezo wa akili. Kutokana viumbe kupenda Kutawala mfano mzuri ni Ukoo wa Majini (shetwani ), malaika, elians na wengine upotoshaji ndipo unapoanzaIla kuna uwezekano pia miungu ilikuwepo na ikaumba binadamu. Ila kwa bahati mbaya kama ambavyo iliweza kuwepo ikawa haipo tena sasa kwa njia zilizo nje ya uelewa wa binadamu, miungu imetoweka. Hayupo hata Mungu mmoja tena![]()
Mungu ni nani/nini?.Kila Kiumbe kilichoumbwa na Mungu kilipewa mahali pa kukaa na Uwezo wa akili. Kutokana viumbe kupenda Kutawala mfano mzuri ni Ukoo wa Majini (shetwani ), malaika, elians na wengine upotoshaji ndipo unapoanza
Na hata Binadamu sasa tunataka kwenda Sayari zingine. Hao viumbe wengine wao walishakuja duniani muda mrefu na wakatupotosha na kuleta Teknolojia zao huku(kumbuka kuna Mambo yapo Duniani wanasayansi hawana Majibu yametokea wapi na Yamejengwa na Nani)
Viumbe hawa ndio wameleta mpaka hzii dini za upotoshaji zilizopo leo hii ambazo ndizo zinakuambia Mungu anataka Hiki na Ukimnyima anakulaani
Ndio hawa hawa wanawatokea manabii walioandikwa kwenye vitabu wanamwambia wasome kwa jina la Mola wao. Ndio hawa hawa wanakuja kwa njia ya Moto kuwaka kwenye Kichaka na Kuwaambia wavue viatu ni sehemu takatifu
Wakijua au wasijue wewe inakuhusu nini na imani au wokovu wako?Babu zetu walio ishi na kufa kabla ya hivi vitabu havijaja,walimjua Mungu ?