sweetlady
JF-Expert Member
- Dec 24, 2010
- 16,967
- 8,498
Namfahamu huyu nitamtaja baadae! Mungu amuone saana tu!
Hehehehe....umtaje uone utakavyolimwa ban....mmezee tu.....mwachie Mungu
Namfahamu huyu nitamtaja baadae! Mungu amuone saana tu!
Dah ngoja nitulie zangu lolHao Mungu anawamulika!
bosi mwenyewe kutwa yupo jei efu, kila nikiingia namkuta anasmile halafu ana-minimize fasta, wallah tena sweetlady MUNGU anamuona bosi wangu pia, hii jei efu hii!!!!:angry: :angry: .....hivi namba za boss wako ni zile zile au amebadili?......unaleta mchezo na kazi eeh..... Mungu anakuona cacico
leo shwar wangu!
bosi mwenyewe kutwa yupo jei efu, kila nikiingia namkuta anasmile halafu ana-minimize fasta, wallah tena sweetlady MUNGU anamuona bosi wangu pia, hii jei efu hii!!!!
wale wanaowaambia wadada wa watu kuwa wanafanya kazi ubalozi wa America........wakati ni mawaiter Ngurdoto......Mungu anawaona......
wale ambao wamenyonywa na CCM,maisha yao ni magumu lakni bado wanaishabekia Mungu anawaiona
we mwenyewe CCM
nipo job, badala ya kuconcentrate, kila saa nipo jf! wallah MUNGU ananionaje thatha!??
ha!ha!ha!.....wife basi nichumu nikiss....
unadanganya wenzio wewe ni matawi ya juu unamiliki hammer.....kumbe hata shangshang huna.....Mungu anakuona.....
aaaah nyi wengine hampigiki bila kamba staili nyinyi!!................na nyinyi Mungu anawaona,kudadeki!
hatuonekani kwa sababu wakati mnadanganya....huwa tunawaona ma fa la tu.......mwisho wa siku unamwagwa kama vile gunia la taka........