Mungu anawaona mjue.......

Macho ya Bwana yapo kila mahali yakimchunguza mbaya na mwema. Kwa hiyo kila unalotenda Bwana Mungu anakuona ujue, shauriyo
The unseen is illustrated by the seen.
 
1. Kwa wale wanaoandika txt, 'Nakumiss' halafu kuituma kwa wapenzi 20..........MUNGU ANAWAONA
2. LUKU imekata kwenu umekaa nje unatext watu,'Niko nje napata upepo mwanana'.......MUNGU ANAWAONA
3. Huna kazi, mpenzi wako mtumishi wa serikali mshahara laki 3 kwa mwezi, Birthday yako unatumia milioni mbili......MUNGU ANAKUONA
4. We ni kiserengeti boy una mpenzi wa miaka 50, unamtext 'Njoo baby', we huyo baby au nyanya yako?.....MUNGU ANAKUONA
5. Unapiga picha sebule ya boss wako unaiweka FB na kukoment Home Sweet Home........MUNGU ANAKUONA
6.
7.
8.
9.
10.

endelea........


Mnaojifanya kuongea na simu kumbe ni pozi la kuwapita watu bila salaam.............................Mungu anawaona!
 
Mnaojifanya kuongea na simu kumbe ni pozi la kuwapita watu bila salaam.............................Mungu anawaona!

Hahahahaha Mwanyasi hii imenigusa manake ndo zangu tehe tehe!......duuu kumbe Mungu ananiona lol itabidi niache.
 
Last edited by a moderator:
Hahahahaha Mwanyasi hii imenigusa manake ndo zangu tehe tehe!......duuu kumbe Mungu ananiona lol itabidi niache.

Haswaa sweetlady, Mungu kaakuona ndio maana kanionesha niseme, bora umekili maana ata kusamehe

  • A%20S%208.gif

 
Last edited by a moderator:
he he he.....na wale wanaopeleka nyama kwa kimada.....watoto nyumbani wanakula kabichi kavu....Mungu anawaona.....

Hii Mungu akikuona akimaliza anakupiga na laana hapo hapo lol.......kabichi kavu tehe!.....kimada nyama asee!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom