Mungu anawakumbusha Mbowe ni wingu tu ndani ya CHADEMA, mvua za mawe bado zimetulia

Nawasalimu wote kila mmoja kwa imani yake wana JF.

Nalazimika kuandika machache Ili nifikishe ujumbe tu.

Kichwa cha habari kinajieleza sana, nini namanisha hapa

Mh Mbowe ni Mwenyekiti wa chama cha Chadema Tz, anakabiliwa na mashitaka ya UGAIDI, maana nyingine wapenzi, wanachama wote wanakabiliwa na mashitaka haya hilo liko WAZI.

KWa kua lengo langu nikufikisha ujumbe basi nazungumza machache

Sikia enyi mamlaka, mwaweza mfanya lolote mh Mbowe, ila elewa Mh Mbowe amekua mtu wa busara sana na wakutumia hekima Sana Kama mwana siasa, sasa kwa hila zenu mnaweza mfunga Ili kuikomoa CHADEMA ila mtajuta. Namanisha nini hapa?

Namanisha CHADEMA inawatu, CHADEMA inaviongozi wenda ambao hawana hata subira pale tu HAKI inapokua inanyongwa,wapo ila wenda hawajapewa majukumu hayo kutokana na taratibu za CHAMA ila wakipewa wao mtakumbuka sana Mh Mbowe.

Huyu Mh Mbowe pamoja na CCM kumpitisha kaa la moto ni mvumilivu sana, sasa shupaza shigo.

Niwaombeni hakuna kitakacho saidia bila meza ya mazungumzo na maridhiano lakini kwanza Mh Mbowe akiwa huru,vinginevyo mbaki naye.

Acheni kibri kwamba nyie ndo nyie, wakati mwingine lazima tumia rejea ya viongonzi wa nchi waliopita na kutambua kwamba bila kuwa karibu na kubadilishana mawazo na watu wenye fikra mbadala (wapinzani) kama nchi mambo hayawezi kwenda,mfano mh KIKWETE alifanya, huwezi lazimisha kila mmoja acha anachokiamini kwamba akubaliane na wewe kwa kheri au kwa shari never Duniani au Mbiguni that's wapo malaika walimuasi Mungu, na wakawa Mashetani.

Sasa hamjifunzi au chukua ushauri kwa wakongwe kama MJK why?

Nchi haiwezi jengwa na mawazo ya mtu mmoja, chama kimoja lazima kujengwa na watu wote na mawazo tofauti Wala sio Mabavu

Mkipenda jitafakari ila msipotaka shauri zenu

Niwatakie ijumaa njema.
Ndiyo. Mshupaza shingo huota mshipa.
 
Jifunzeni kubeba misalaba kama wanaume. Kila siku kulialia na thread. Sio yeye wa kwanza kuwa ndani. Nyie makamanda gani sasa
 
Moto mkubwa huanza na cheche. Ujiti wa kiberiti husababisha moto hata wa kuangusha ghorofa.

CCM wasipotumia akili, wapo kwenye risk position:

1) Vijana wengi wanaiunga mkono CHADEMA. Kukitokea vurugu, vijana ndio wenye nguvu za mapambano. CCM itaumizwa zaidi.

2) Wasomi wengi wanaiunga mkono CHADEMA. Kukitokea uasi wa namna yoyote, wasomi na high IQ people ndiyo huwa washindi.

Salama ya CCM, ni kuwa waungwana kuleta kujivika ushetani kama wanavyofanya sasa.
 
Tulieni mahakama ifanye kazi yake! Kafungwa sabaya alikuwa mkuu wa wilaya mbowe ni nan asifungwe, msitake kuonekana kila siku mnaonewa wakati sio kweli
 
Sasa mnasubiri nini kusimama sasa hivi ?

Lianzisheni muda huu huu. Mnabweka bweka tu humu bila action yoyote.
Kama Chama changu ccm ndo hapa tulikofikia kwa kuingiza ukabila kwenye mazingira ambayo sio mazuri.
Ndugu vidonda ni vingi kwa nini tusiyaheshimu mabila ya watu.
 
1634929061575.png

UGAID unaujua wewe au ndiyo sera mpya ya CCM kubambikizia watu kesi wanaodai vuguvugu la Katiba mpya. Na mtaitoa tu mtake mstake, maana sasa mmenza kuingilia hadi uhuru wa Mahakama, this is too much.

Kwanza ni hukumu gani ile kama si ujiaibisha tu kitaifa na kimataifa, Ni taifa gani huru linakandamiza watu wenye mawazo mbadala.

Kajipangeni upya!! CDM hamtakaa muiweze, marehemu mwenyewe kaikimbia sembuse nyie bana.
 
Back
Top Bottom