Wakati nikisoma habari za hawa mapacha inaaminika kuwa wana mfuko mmoja wa chakula yaani tumbo...
Halafu wana miguu miwili tu na kwa pamoja wana mikono minne, yaani kila pacha na mikono yake miwili...
Kuna jambo limenitatiza kidogo kuweza kulielewa nalo ni coordination yaani mfumo wa fahamu ukijumuisha na ubongo...
Hivi kama pacha mmoja ubongo wake unaielekeza miguu kuwa sasa ni wakati wa kwenda kule, lakini wakati huo huo pacha mwingine ubongo wake unaiambia miguu sasa ni wakati wa kukaa...hapa sijajua maamuzi yao huwa yanafikiwaje na vichwa viwili vinavyocontrol viungo vinavyokuwa shared.
Au inakuwaje pale mmoja anapojisikia njaa wakati mwingine ndio kwanza hajihisi kula, sasa yule mwenye njaa akila na kulijaza tumbo huyu mwenzake mwenye njaa atajihisi vipi?
:der: