Atakuwa ana usikia tu uchi wa mwanamkeBoxing Day Nairobi Hospital
Mungu ametupa zawadi leo kwa Mh Tundu Lissu kusimama kwa Mara ya kwanza kwa msaada wa Physiotherapist tangu tarehe 07/ 09/2017. Ahsante Mungu kwa kuendelea kututendea miujiza.
Picha kutoka Hospitali ya Nairobi ikimuonesha Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu akifanya mazoezi ya kusimama kwa msaada wa madaktari wa hospitali hiyo.
=========UPDATES
Ujumbe wa Mbunge Tundu Lissu kutoka Hospital ya Nairobi nchini Kenya anakoendelea na matibabu baada ya kushambuliwa kwa Risasi mwezi Septemba, 2017
~
Dear family na wapendwa wote.
Wiki iliyopita niliwataarifu kwamba madaktari wangu wamesema 'nitasimama, nitatembea na nitarudi Tanzania.'
Leo Boxing Day nimeweza kusimama kwa mguu mmoja kwa msaada wa 'Mababa Cheza' wangu.
Hatua inayofuata ni magongo kesho na nitawajulisheni hatua nyingine katika matibabu yangu accordingly.
Wasalaam,
Tundu AM Lissu
View attachment 659914