Mungu ametupa zawadi leo kwa Mbunge Tundu Lissu kusimama kwa mara ya kwanza kwa msaada wa Physiotherapist

Za wadi? Tundu lisu! !! Labda sijui mana ya za wadi kutoka kwa Mungu
Mkuu, roho ya Binanadamu hata akiwa na madhaifu namna gani bado ni roho tu, ni vizuri kumwachia Mungu au Mamlaka za Kisheria zimwadhimu kuliko kujichukulia sheria mkononi. Mbona Serikali inazuia watu kuwachoma moto vibaka ? Iweje Lisu usiwe na huruma naye hata kama kakuudhi vipi.
 
Mungu hajawahi kushindwa. Mwaka mpya 2018 huo na Tundu Lisu "MPYA" huyo. Tushangilie, tuombe na tuchape kazi.
 
Aaamin! ila ongeza bidii kiongozi mengine ujiongeze mwenyewe, hao jamaa wanapenda uzidi kuwepo Hosp kwani wao kuwepo kwako ndio fedha zinaingia, muwamba ngoma huvutia kwake!!!!!
 
Back
Top Bottom