Mungu ametupa zawadi leo kwa Mbunge Tundu Lissu kusimama kwa mara ya kwanza kwa msaada wa Physiotherapist

Fisi ni mwenye tamaa na haridhiki sasa tabia za CCM ndio kama za huyo fisi

Na kwa Lissu kupiga hatua nzuri kwenye matibabu.. inaendanaje na CCM.. na inajulikana alitendwa na wenzake wa Chadema.. ili wamsimamishe yeye kupata umaarufu kuliko waliotoa pesa ndefu kujiunga wapate vyeo.
 
CCM imeingia hapo kwa kuwa mlifurahia juu ya hilo tukio na viongozi wenu walisema watashughulika naye nje ya bunge
 
Kwa maneno haya tu inaonesha nijinsi gani mlivyo husika.Ni kwambie ndugu chama kisikufanye ukafanyika laana kwa familia au ukoo wako.Leo unashangilia kwa kumwagwa damu isiyo na hatia, hata kama siyo wewe lakini mtoto wako itamwandama laana hii.Sikiliza tena hata kama unakula vizuri na kuvaa vizuri kwa sababu ya uhaini huu ipo siku damu isiyo na hatia itaigeukia familia yako huwezi kuona leo. Bila kuhukumu MUNGU WA MBINGUNI AONAYE SIRINI ATAKULIPA SAWASAWA NA MATENDO YAKO
Naona umeandika maneno mengi yasiyo na msingi kabisa....acha kupoteza muda wako nani kakwambia ni lazima kila mtu afikiri juu ya Lissu? acha ujinga na unafiki wa kujifanya wewe una uchungu kuliko mke wake.....hivi wewe huna ndungu wagonjwa au majirani zako?
 
Na kwa Lissu kupiga hatua nzuri kwenye matibabu.. inaendanaje na CCM.. na inajulikana alitendwa na wenzake wa Chadema.. ili wamsimamishe yeye kupata umaarufu kuliko waliotoa pesa ndefu kujiunga wapate vyeo.
Kama wewe ni mwana ccm wa kweli basi jitafakari kwa kauli zako za kishetani. Kama kweli unamwamini Mungu wa Eliya na Yakobo basi ujitenge na laana hiyo isijekuwa juu ya kichwa chako na kizazi chako. Lkn kama ni mmoja wao wa walioutenda unyama ule sikufundishi chakufanya kwa Muumba wako.
 
Baadhi ya Wanadamu hawakufaa kabisa kuzaliwa na kuishi katika Dunia hii,Inauma sana mwanadamu mwingine kumfanyia ukatili Mtu aliyezaliwa mzima kabisa na uzima wake na Mungu akamjalia kipawa(sheria)kwa faida ya wengi kama Lissu,sasa anataabika kwa kusema tu ukwel,ilhal wanafiki wakibaki wakijinasibu kwa kusema ,msema kwel ni mpenz wa Mungu

Sent from my TECNO H5 using JamiiForums mobile app
 
Mungu amemwaibisha shetani na kikosi chake
Zero brain anatamani kuhama nchi bahati mbaya ameharibu kotekote anafahamu siri ni ya mtu mmoja kwa vile ni kikundi bomu litalipuka karibuni.
 
Pamoja kuwa kada wa CCM unatakiwa kujua utu kama leo unaweza kuandika huu upuuzi kwa sababu wewe ni mzima tambua kuna utakuwa kilema wa maisha
Na kwa Lissu kupiga hatua nzuri kwenye matibabu.. inaendanaje na CCM.. na inajulikana alitendwa na wenzake wa Chadema.. ili wamsimamishe yeye kupata umaarufu kuliko waliotoa pesa ndefu kujiunga wapate vyeo.
 
Lord God, look upon your son Tundu Lissu with the eyes of Your mercy, may Your healing hand rest upon him, may Your life-giving powers flow into every cell of his body and into the depths of his soul, cleansing, purifying, restoring him to wholeness and strength for service to your people and nation. To God be the Glory. Amen.
 
Daaaaa yani nikiwafikiria binadamu huwa nakosa amani sana.Jamani kuna watu wanaroho mbaya.
Eheee mwenyezi mungu tunakuomba utoe hukumu hapahapa duniani kwa watu kama hao na hukumu zaidi wapate siku yao wakifika mbele yako.
Tuseme aamin
Hukumu ndio Babylon tower (confusion) inayoanza kutokea chadema.
 
Back
Top Bottom