incomplete!!
Kesho jiji la Arusha litatikisika...sakata la mabomu mambo yote kuwekwa hadharani..!
Ni kweli Mkuu. Tunapaswa kujua hayo maombi ya Lema ni yepiKiongozi weka hii vizuri. tuambie ni maombi yapi ya Lema yaliyojibiwa. Hayo mambo yanawekwa hadharani na kina nani, kwa mtindo gani, wapi?!!
Kesho jiji la Arusha litatikisika...sakata la mabomu mambo yote kuwekwa hadharani..!
cisco ft. Dru Hill
from the album titled enter Enter Dru.
Kiongozi weka hii vizuri. tuambie ni maombi yapi ya Lema yaliyojibiwa. Hayo mambo yanawekwa hadharani na kina nani, kwa mtindo gani, wapi?!!
Huu ni uhuni tu.Hii haijakaa sawa
Mbowe na lema wanawafahamu waliyo lipua mabomu
mungu kajibu nn sasa? Mpaka video wanayo
bora lema atubu dhambi zake za kurusha mabomu soweto
Vuta subira kamanda lkn kama upo A town sogea mahakani kesho asubuhi..!