Zogwale
JF-Expert Member
- Jul 10, 2008
- 15,295
- 10,963
Umeandika kishabiki sana. Hebu tueleze ni yale mabomu ya soweto makamanda waliyoyalipua au yapi?
Mkuu Msalani wangelipua makamanda ungekuta waneshahukumiwa kunyongwa. Wahusika nu watiiiiiiifu kwenu ndiyo maana hadi leo hawajapatikana. Hivi yule bodaboda wenu wa kisanii bado yuko korokoroni???