Mungu ambariki Abiudi Misholi

Mungu ambariki Abiudi Misholi

Ee Mwenyezi Mungu nakuomba endelea kubariki kazi za Abiudi Misholi na sauti yake ikawe uponyaji wa mioyo yetu leo na hata kesho kwa kadri upendavyo.
Ameen...hata mimi nimeuskiliza.ni mzuri mno na unafika mbali..ukiusikiliza ujumbe vyema!
 
Abiudi ni Mtumishi bwana

yani hamna nyimbo yake na skip hata moja

ni moja kati ya waimbaji wa injili watakaodumu milele na milele

maana style ya uimbaji wake hakuna wakuweza iiga

For time being nasikiliza "lini utapita kwangu" aseee acheni bana

Ana kitu ndani yake huyu mtu acheni amtumikie Mungu na wengne Tubarikiwe kupitia yeye.

Kama ni stars

Abiudi nam rate 5 stars
 
Humjui Abiudi Misholi? Ni mchungaji lakini pia ni mwimbaji wa nyimbo za injili wimbo wake maarufu sana ni tenda muujiza

Ana wimbo wake wa Mungu yuko hapa, aisee huyu mchungaji anaimba Mungu ambariki
 
Iweke hapa lini nitapita tuishushe

Back
Top Bottom