Mtumishi wa Mungu hutakiwi kuchagua injiliWee!mie mwenzenu naskizaga nyimbo za sda tu..wengine hata huwa hawanibariki!kidg bahati bukuku na shusho!wanavyocheza sasa..ah big no!
Tatizo huweki mawazo kwenye ujumbe unashangaa watu tuu
Hapana..unanionea sana...!nnamwamini sana Mungu aisee!usidhani mm ndo walee!sema imani yangu ni tofauti kidg na hizo. manengelo. Mwana Apollo haya mambo ya dini si rahisi kuyaelewa.
Ngoja ntamsikiliza leo...!nimekumis tusogoe😅!Wewe msda nakujua. Za abiudi ziko poa pia jaribu kusikiliza
Sikiliza RC..ChoirNyimbo zake zinabariki sana
Jipe muda sikiliza kwaya za KKT nazo zavutiaHapana..unanionea sana...!nnamwamini sana Mungu aisee!usidhani mm ndo walee!sema imani yangu ni tofauti kidg na hizo
Jipe muda sikiliza kwaya za KKT nazo zavutia
Upako ni nini?
Nasikiliza aina zoteSikiliza RC..Choir
karibu sana bado ni hot.Sure..kuna wale KKKT kijitonyama enzi za 2004-2009 walikua hawt balaa!thnks
Babu kijanaClassmate wangu na mtu ambaye miaka ile tulikuwa karibu sana Singidani huko.
Nitamtukuza Munguwangu hata nizeeke snasanaMwimbaji wa Gospel!
He is good