Goodluck!Mm,umeona video zake za hivi karibuni?Huyu anahitaji matengenezo makubwa na hata yeye mwenyewe amekiri hivyo.Na kama wewe kweli unaitendea haki roho yako,nadhani unajua kwamba waimbaji binafsi wa nyimbo za Injili sio,wanamtumikia "Kaka Mkubwa>Shetani!"Amina
Pia aufunue ubongo na moyo wa Goodluck Gosbert umuhubiri Mungu kweli.
Niko poa kabisa, namshukuru Mungu.Mzima lakini
Mzima lakini
Am happy to hear thatNiko poa kabisa, namshukuru Mungu.
And how are you?Am happy to hear that
Tatizo ana copy sana sauth Africa bora niendelee kumcheki Sarah k kuliko hao
State agent
Anaishi Tukuyu?Nilionana nae uso kwa uso tukuyu mbeya na akaibariki familia yangu aisee Ni mtu humble sana
Ipo siku nitaonana nae,Mungu anijalie uhaiHapana ila anaendaga kufanya ibada na semina za kidini Mimi nilikutana nae Mara ya Kwanza tukuyu maeneo ya bagamoyo Kama unaelekea soko mjinga by then ilikuwa 2013/14
We kama mimi tu. Jamaa namuona mjanja mjanja tu.
Anaitwa Ambwene Mwasongwe Mwamlenga!Ambwene Mwasingwe the best..
Mi mwimbo wa hutaaaa nisahau wewe Mungu wa huruma hutamishauuu yani acheni tuAbiudi ni Mtumishi bwana
yani hamna nyimbo yake na skip hata moja
ni moja kati ya waimbaji wa injili watakaodumu milele na milele
maana style ya uimbaji wake hakuna wakuweza iiga
For time being nasikiliza "lini utapita kwangu" aseee acheni bana
Ana kitu ndani yake huyu mtu acheni amtumikie Mungu na wengne Tubarikiwe kupitia yeye.
Kama ni stars
Abiudi nam rate 5 stars
Huu uzi umenifunulia kitu kimoja,kutokana na kuona miandiko mingi ni ya wadada.
Leo nimegundua kuwa asilimia kubwa ya wadada wa JF ni "wapenda Mungu" japo kwa kila mtu kwa aina yake.
Mungu awabariki sana.
Ipo siku nitaonana nae,Mungu anijalie uhai
HapanaUshamwona huyu mchungaji?