Mungu ambariki Abiudi Misholi

Aliongelea ishu za majanga yatakayotokea kipindi cha kuelekea mwisho wa dunia, nilimwelewa sana. Watumishi wengi hawaliongelei hili kuwaandaa watu kwa ajili ya dhiki kuu na matukio ya kutisha kuelekea siku za mwisho.Na watu wengi wanadhani huo mwisho uko mbali sana..
 
Mchungaji Misholi

Screenshot_20191109-220701.jpeg
Screenshot_20191109-220642.jpeg
 
Nadhani ni moja ya waimbaji wenye nyimbo nyingi na hazichuji.Ukiwa unaimba nyimbo zake unajikuta kama unasali vile dah!
MUNGU amejua kumtumia vizuri Abiud.
Kweli hazichuji tofauti na waimbaji wengine.
Tatizo watu huimba target yao ya kwanza Ni kufanya biashara.
 
Tatizo ana copy sana sauth Africa bora niendelee kumcheki Sarah k kuliko hao

State agent
Ha ha ha mzee baba huku kwenye neno la Mungu sikuchukii unabaki kuwa comrade ila kule mnakovuruga uchaguzi tutazidi kuwa arch enemies
 
Back
Top Bottom