Mungu ambariki Abiudi Misholi

Mungu ambariki Abiudi Misholi

Mungu pia ambariki marehemu mzee Stanslaus Mjwahuhiki hakika tungo zake zinanibariki sana
 
Nimekutana nae Mara nyingi sana na nimehurudhia mikutano yake...Mara ya mwisho niliweka mpaka appointment nae niongee nae ikashindikana
Nikipataga safari za mbeya mara nyingi nakuwa busy na kazi za watu mpaka nakosa muda wa kuzurula,lakini one day yes nitaonana nae tu!!

Kanisa lake liko sehemu gani hapo mbeya?
 
Back
Top Bottom