Hata Dr Slaa alisema anahifadhi kadi yake ya CCM kama kumbukumbu je na yeye ni kada wa CCM?
Hata Dr Slaa alisema anahifadhi kadi yake ya CCM kama kumbukumbu je na yeye ni kada wa CCM?
Huyu William alishawahi kuugua kichaa
Mala ya mwisho ameilipia lini?
Huyu William alishawahi kuugua kichaa
Mm ni mfuasi wa mageuzi, kwa upande wa Mufindi wafsnye kazi ya ziada kubadili misimamo ya watu wa kule. Wahehe ni watu wabishi sana na wanaridhika hata kwa dhiki walizonazo ingawa ni wachapakazi sana.
Uchaguzi wa serikali za mitaa CHADEMA walipata vijiji viwili kati ya 602 vya wilaya ya Mufindi. Niliumia sana nikiwa mm mwanamegeuzi ninaependa kuona mabadiliko!
Hongera Mungai (Jr), naamini una uchungu sana hasa baada ya kuona baba yako ametumikia CCM kipindi kirefu sana na baadae akaja kupewa fadhila za kuwekwa mahabusu eti ametoa rushwa ya ulanzi na komoni...???
Huyo kula kulala William baba yake akipewa ubalozi anarudi CCM
Huyo kula kulala William baba yake akipewa ubalozi anarudi CCM
Kwa kweli ukiona mpaka watoto wa wanaCCM wakongwe kama Mungai wanaondoka katika chama hicho fahamu kinakaribia kukata roho!
Usije kinyumenyume sisi hatuna mchezo huo wewe njoo huokoke mwenzako amefanya hivyoCCM maslahi wana pua kali kama za 'NGURUWE', lakini pua zao wakati mwingine huwaelekeza kusiko kama huyo dogo wa Mungai ambae anataka kuendeleza 'UFALME' kupitia SACCOS !
Ndio walicho bakiwa nacho kwa sasa ccm ni sawa namapingamizi ndio lilikua kimbilio lao
Hilo tumesha li note na halitajitokeza tena Tanganyika hiiMapingamizi wameshashtukiwa dil sijui watatumia mbinugan, na mtu akiniambia amewekewa kipingamizi sitamwelewa kabisa
All in All nataka ukawa wajipange wahakikisha details zote zinakuwa correct, filled and dully signed/stamped by proper person na wasubmit on time
Mbona mtoto wa katibu wa Chadema kaamia Ccm ha2semi
Kama wewe ulivyo na mtindio wa ubongo nasikia mpaka kamanda moja akushike maeneo flani ya mwili ndio unashtuka kama bedford ikiingizwa gia?William kichaa chake hakijapona kipindi hiki cha baridi kimeamka arudishwe Milembe