Mungai aongoza CHADEMA kusambaratisha CCM Mufindi

Molemo

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2010
Posts
14,620
Reaction score
13,361
Chama cha Demokrasia na Maendeleo kimekiweka pagumu chama cha Mapinduzi katika jimbo la Mufindi Kaskazini.

William Mungai mtoto wa waziri wa muda mrefu wa Elimu Tanzania Joseph Mungai ndiye anayeongoza 'mazishi' ya chama cha baba yake hapa Mufindi.

William Mungai tangu ajiunge na CHADEMA zaidi ya mwaka mmoja uliopita amekuwa akiongoza operesheni kadhaa kuimarisha CHADEMA na kuchoma moto hadharani kadi za maelfu ya wanaCCM wanaokihama chama hicho.

Mungai amekuwa akiwaeleza wananchi wa Mufindi mateso makubwa wanayopata na huduma mbovu ni kutokana na sera mbovu za CCM na kuwaambia ukombozi pekee uko CHADEMA kutokana na sera nzuri za chama hicho na uongozi thabiti usiyoyumba wa Mwenyekiti Freeman Mbowe na Katibu Mkuu Dr Wilbroad Slaa.

William Mungai ambaye kwa sasa ni mjumbe wa mkutano Mkuu Chadema Taifa wiki iliyopita alimualika jimboni humo Makamu Mwenyekiti BAVICHA Taifa Patrick Ole Sosopi kufanya mikutano kadhaa jimboni humo kuimarisha CHADEMA.

Joseph Mungai ambaye ni Baba yake William mbali ya kutumikia serikali kama Waziri kwa muda mrefu pia amekuwa mbunge wa Mufindi Kaskazini kwa miaka 35.

Akihojiwa kwa nini mtoto wake amejiunga CHADEMA huku yeye akiwa ni kada mkongwe wa CCM waziri huyo wa zamani amesema kamwe hawezi kumuingilia mtoto wake kwani ni kijana mkubwa mwenye maamuzi yake na amesema anamtakia kila la kheri katika harakati zake.
 
kila siku nasema CCM inakufa Kwa kasi ya ajabu..

Kwa kweli ukiona mpaka watoto wa wanaCCM wakongwe kama Mungai wanaondoka katika chama hicho fahamu kinakaribia kukata roho!
 
Kamanda kimeshakufa sasa hivi ni utafiti tuu kuwa kimekufa kifo gani cha Mende au mbuzi kagoma na mazishi ni october
 
Kuna umuhimu Wa kuwahi kuizika CCM mapema kabla haijaanza kutoa harufu kali vinginevyo tutashindwa kuipa haki yake ya kuizika.
 
Chama cha Demokrasia na Maendeleo kimekiweka pagumu chama cha Mapinduzi katika jimbo la Mufindi Kaskazini.

William Mungai mtoto wa waziri wa muda mrefu wa Elimu Tanzania Joseph Mungai ndiye anayeongoza 'mazishi' ya chama cha baba yake hapa Mufindi.

William Mungai tangu ajiunge na CHADEMA zaidi ya mwaka mmoja uliopita amekuwa akiongoza operesheni kadhaa kuimarisha CHADEMA na kuchoma moto hadharani kadi za maelfu ya wanaCCM wanaokihama chama hicho.

Mungai amekuwa akiwaeleza wananchi wa Mufindi mateso makubwa wanayopata na huduma mbovu ni kutokana na sera mbovu za CCM na kuwaambia ukombozi pekee uko CHADEMA kutokana na sera nzuri za chama hicho na uongozi thabiti usiyoyumba wa Mwenyekiti Freeman Mbowe na Katibu Mkuu Dr Wilbroad Slaa.

William Mungai ambaye kwa sasa ni mjumbe wa mkutano Mkuu Chadema Taifa wiki iliyopita alimualika jimboni humo Makamu Mwenyekiti BAVICHA Taifa Patrick Ole Sosopi kufanya mikutano kadhaa jimboni humo kuimarisha CHADEMA.

Joseph Mungai ambaye ni Baba yake William mbali ya kutumikia serikali kama Waziri kwa muda mrefu pia amekuwa mbunge wa Mufindi Kaskazini kwa miaka 35.

Akihojiwa kwa nini mtoto wake amejiunga CHADEMA huku yeye akiwa ni kada mkongwe wa CCM waziri huyo wa zamani amesema kamwe hawezi kumuingilia mtoto wake kwani ni kijana mkubwa mwenye maamuzi yake na amesema anamtakia kila la kheri katika harakati zake.
Kamanda William aka Big Willy, yuko vizuri namkabali kwa harakati zake
 
Ni kweli kama siyo Mapingamizi wangesambaratishwa vibaya kwenye uchaguzi wa mitaa uliopita.

Walivyo ona hali inawaendea mrama na Umma wa watanzania wamewakata wakaona kimbilio ni mapingamizi
 
Kwa kijana kujiunga na cdm sio jambo la kushangaza kamwe! Chadema ni chama kinachoendana na vijana, kwa hiyo ni jambo la kawaida.
 
Back
Top Bottom