- Thread starter
- #41
kamanda wiliam songa mbele,umechagua nuru nakuacha giza ccm ijifie!tuko nyuma yako.
Hakika Mungu yu pamoja naye!
kamanda wiliam songa mbele,umechagua nuru nakuacha giza ccm ijifie!tuko nyuma yako.
Kwa vile kufanya kazi ya cdm ( ukombozi ) ni sawa na kufanya kazi ya Mungu , basi bila shaka huyu kijana atabarikiwa sana.
Lumumba wana hali mbaya sana..
Lumumba wana hali mbaya sana..
Kama nchi imekuwa kama gheto, basi ni heri hiki chama cha kujani kife kwanza ndio hadhi na heshima yetu irudi, Katika kuleta maandeleo ni lazima mmoja atolewe kafara, naye si mwingine bali ni CCM na washirika wake .
#USIWECCM
amri ya 11 'Usiwe CCM'
Chama cha Demokrasia na Maendeleo kimekiweka pagumu chama cha Mapinduzi katika jimbo la Mufindi Kaskazini.
William Mungai mtoto wa waziri wa muda mrefu wa Elimu Tanzania Joseph Mungai ndiye anayeongoza 'mazishi' ya chama cha baba yake hapa Mufindi.
William Mungai tangu ajiunge na CHADEMA zaidi ya mwaka mmoja uliopita amekuwa akiongoza operesheni kadhaa kuimarisha CHADEMA na kuchoma moto hadharani kadi za maelfu ya wanaCCM wanaokihama chama hicho.
Mungai amekuwa akiwaeleza wananchi wa Mufindi mateso makubwa wanayopata na huduma mbovu ni kutokana na sera mbovu za CCM na kuwaambia ukombozi pekee uko CHADEMA kutokana na sera nzuri za chama hicho na uongozi thabiti usiyoyumba wa Mwenyekiti Freeman Mbowe na Katibu Mkuu Dr Wilbroad Slaa.
William Mungai ambaye kwa sasa ni mjumbe wa mkutano Mkuu Chadema Taifa wiki iliyopita alimualika jimboni humo Makamu Mwenyekiti BAVICHA Taifa Patrick Ole Sosopi kufanya mikutano kadhaa jimboni humo kuimarisha CHADEMA.
Joseph Mungai ambaye ni Baba yake William mbali ya kutumikia serikali kama Waziri kwa muda mrefu pia amekuwa mbunge wa Mufindi Kaskazini kwa miaka 35.
Akihojiwa kwa nini mtoto wake amejiunga CHADEMA huku yeye akiwa ni kada mkongwe wa CCM waziri huyo wa zamani amesema kamwe hawezi kumuingilia mtoto wake kwani ni kijana mkubwa mwenye maamuzi yake na amesema anamtakia kila la kheri katika harakati zake.
Kwa vile kufanya kazi ya cdm ( ukombozi ) ni sawa na kufanya kazi ya Mungu , basi bila shaka huyu kijana atabarikiwa sana.
Mnachanganya mambo yenu ya ulokole na siasa.
Mnachanganya mambo yenu ya ulokole na siasa.
wrong neeeews!poleni labda mahal pengne na c mfindi.great news!!!!