Kwa vile kufanya kazi ya cdm ( ukombozi ) ni sawa na kufanya kazi ya Mungu , basi bila shaka huyu kijana atabarikiwa sana.
CCM imebakia vijana waimba taarabu kama wakina @lizaboni na laki si pesa bila kulisahau utaifakwanzaNi kweli Kamanda amba.nkya hapa Mufindi tunamuita Big Willy.Ni jina maarufu sana hapa mpaka watoto wa chekechea wanamjua
CCM imebakia vijana waimba taarabu kama wakina @lizaboni na laki si pesa bila kulisahau utaifakwanza
Mizengo pinda anajua msaada wa mapingamizi ulivyowaokoa .
Lakini kwenye habari kama hii wote wanakimbia!
William Mungai ambaye kwa sasa ni mjumbe wa mkutano Mkuu Chadema Taifa wiki iliyopita alimualika jimboni humo Makamu Mwenyekiti BAVICHA Taifa Patrick Ole Sosopi kufanya mikutano kadhaa jimboni humo kuimarisha CHADEMA.
Oyee kwenye kifo cha mendeccm oyee
Hata mbwa akiona anashindwa anashusha mkia nakurudisha nyuma ukizingatia wale wa jelalani wapo wengi sana
Sikulijua baado akili ya mapingamizi baado inawasumbua ccmMtu mwenye mzazi mwenye asili ya kenya kamwalika mmasai mwenye asili ya kenya Ole Sosopi.Majina ya akina Mungai si ya watu wa Iringa ni watu wa Kericho kule kenya alikotokea babu yake huyo william akaenda kulima chai Mufindi.CHADEMA kinapenda sana wahamiaji ambao uhamiaji wao nchini una utata na kuwapa mavyeo kienyeji.
Mtu mwenye mzazi mwenye asili ya kenya kamwalika mmasai mwenye asili ya kenya Ole Sosopi.Majina ya akina Mungai si ya watu wa Iringa ni watu wa Kericho kule kenya alikotokea babu yake huyo william akaenda kulima chai Mufindi.CHADEMA kinapenda sana wahamiaji ambao uhamiaji wao nchini una utata na kuwapa mavyeo kienyeji.
Kwa kijana kujiunga na cdm sio jambo la kushangaza kamwe! Chadema ni chama kinachoendana na vijana, kwa hiyo ni jambo la kawaida.
Thread kama hizi magamba wakiziona kisogo kinahamia usoni
Thread kama hizi magamba wakiziona kisogo kinahamia usoni