wrong neeeews!poleni labda mahal pengne na c mfindi.
Kwa ujumla wana Mufindi are fed up of ccm ni vile hajapatikana mbadala makini, jamaa akikaza uzi anachukua jimbo asbh tu saa 4
ndo huyo huyo alofuta masomo ya kilimo shulen then kaweka physics na chemestry kuwa somo moja na kuwa chemephysics. Kwa kiswahili 2nasema alirudufisha maneno.Mtoto wa Mungai huyu huyu aliyehujumu na kuua elimu ya Tanzania au mwingine?
nilivoona william big willy nikastuka nilidhani le mutuz
Kwani akili zake zinatofauti gani na akili za baba yake aliyefukuzwa ccm?Mbadala ndio huyo kijana ni mwiba mkali kwa ccm
ndo huyo huyo alofuta masomo ya kilimo shulen then kaweka physics na chemestry kuwa somo moja na kuwa chemephysics. Kwa kiswahili 2nasema alirudufisha maneno.
Nilidhani kaweka mtu wa maana kumbe molemo mtu asiyejitambua.
Nikikusoma katikati ya maneno basi ccm ndio wauwaji wa elimu Tanzania maana alikua huko baba yake. Tubu ufutiwe dhambi wewe mkanga ndimi za watu kwenye vibuyu vya lumumbaMtoto wa Mungai huyu huyu aliyehujumu na kuua elimu ya Tanzania au mwingine?
Dah! hao naanza kuamini kweli sio watanzania.
kila siku nasema CCM inakufa Kwa kasi ya ajabu..
Hakika kwa uponyaji huu Chadema ni mpango wa Mungu.
Dah! hao naanza kuamini kweli sio watanzania.
Kwani akili zake zinatofauti gani na akili za baba yake aliyefukuzwa ccm?
Ukiona umevuliwa nguo chutama kijana!
Kama wewe ulivyopewa uongozi wakuwaliwaza Mafisadi?Huyo kula kulala hajawahi kuwa CCM bali baba yake.Musisahau na watoto wa Ntagazwa na Mpendazoe wapeni uongozi nao.
Kinana ana passport ya Somalia, hata Aden Rage pia.
Miungu iko mingi hata ng'ombe amepewa hadhi ya mungu sishangai.
Nikikusoma katikati ya maneno basi ccm ndio wauwaji wa elimu Tanzania maana alikua huko baba yake. Tubu ufutiwe dhambi wewe mkanga ndimi za watu kwenye vibuyu vya lumumba