Mungai aongoza CHADEMA kusambaratisha CCM Mufindi

Mungai aongoza CHADEMA kusambaratisha CCM Mufindi

M
Uchaguzi wa serikali za mitaa CHADEMA walipata vijiji viwili kati ya 602 vya wilaya ya Mufindi. Niliumia sana nikiwa mm mwanamegeuzi ninaependa kuona mabadiliko!

Naona kipigo hicho cha uchaguzi kimewafanya CHADEMA waweweseke hadi watafute aliyewahi kuwa kichaa awasaidie!
Hivi fomu za uongozi huwa haziulizi kama mtu alishawahi ugua kichaa?
 
Naona kipigo hicho cha uchaguzi kimewafanya CHADEMA waweweseke hadi watafute aliyewahi kuwa kichaa awasaidie!
Hivi fomu za uongozi huwa haziulizi kama mtu alishawahi ugua kichaa?
Ndio maana tunaitaji fomu za mbio za urais watu wapimwe Afya sasa mtaa huo vipi kunakupona? Te te te te
 
Mtu mwenye mzazi mwenye asili ya kenya kamwalika mmasai mwenye asili ya kenya Ole Sosopi.Majina ya akina Mungai si ya watu wa Iringa ni watu wa Kericho kule kenya alikotokea babu yake huyo william akaenda kulima chai Mufindi.CHADEMA kinapenda sana wahamiaji ambao uhamiaji wao nchini una utata na kuwapa mavyeo kienyeji.

wewe baba wa babu yako na babu wa babu yako unajua walikotoka?
 
This is another family which is trying to make a back up to continue leading Tanzanians. Study case: Mtoto wa Makamba, Mtoto wa Mgimwa, mtoto wa Mwinyi, mtoto wa Karume n.k. This is just my thinking, no harm or offense intended.
 
Huyu amejutia makosa ya wazazi kwahiyo hana budi kusamehewa
 
This is another family which is trying to make a back up to continue leading Tanzanians. Study case: Mtoto wa Makamba, Mtoto wa Mgimwa, mtoto wa Mwinyi, mtoto wa Karume n.k. This is just my thinking, no harm or offense intended.

Huyu mtoto ametoka kwa shetani kaja kwa Mungu.

Tumuunge mkono
 
Naona kipigo hicho cha uchaguzi kimewafanya CHADEMA waweweseke hadi watafute aliyewahi kuwa kichaa awasaidie!
Hivi fomu za uongozi huwa haziulizi kama mtu alishawahi ugua kichaa?

Ukivuliwa nguo chutama.Unazidi kujiaibisha!
 
Swali:Compare and conrast Big Willy with 'folly Willy' (Le Mutuz).
 
wewe baba wa babu yako na babu wa babu yako unajua walikotoka?

Mwache huyo jamaa ni mbulula kabisa. Hakusoma kuwa kuna East afrika Masai land. Na kwa ujinga wake hajui katibu mkuu wa chama chake si mtanzania ila angekuwa upinzani ingekua nogwa. Intarahamwe bwana
 
Mtu mwenye mzazi mwenye asili ya kenya kamwalika mmasai mwenye asili ya kenya Ole Sosopi.Majina ya akina Mungai si ya watu wa Iringa ni watu wa Kericho kule kenya alikotokea babu yake huyo william akaenda kulima chai Mufindi.CHADEMA kinapenda sana wahamiaji ambao uhamiaji wao nchini una utata na kuwapa mavyeo kienyeji.

Kwa hiyo Joseph Mungai alipokua mbunge wa CCM kwa miaka 35 na waziri kwa zaidi ya miaka kumi hakua wa Kericho? Ila mwanae kuingia Chadema kawa Mkenya wa Kericho. Duuu CCM kweli sera zimekwisha umebaki ujanja unjanja na nguvu ya jeshi tu.
 
Hapo ccm wameshikwa pabaya.Tupieni Cv ya Mungai tujiridhishe
 
Na kule MUFINDI KUSINI hali ikoje, kina jamaa anaitwa Jumanne Masonda amejitosa kuwania kupitia CHADEMA, ila naona km anasua sua kidogo! Huyu jamaa makazi yake ni Arusha...
 
molemo umetia chumvi nyingi. wiliam mungai aisambaratishe ccm sasa wakati chaguzi za vitongoji na mitaa chadema wamesambaratishwa...mbona unatugeuza watoto wa pinokyo? ungetuambia kuwa wenyeviti wa ccm wamejiuzulu na kurudisha kadi tungekuamini lakini hili la kuchoma kadi mbona hata mimi naweza kuchukua kadi moja ya chadema nikaidurufu zikawa mia au mia mbili halafu nikasimama nazo jukwaani kuwaonyesha kisha nikazichoma..ungetutupia na picha za hao mamia ya wana ccm wanaohama tungekuamini, vinginevyo hatudanganyiki
Chama cha Demokrasia na Maendeleo kimekiweka pagumu chama cha Mapinduzi katika jimbo la Mufindi Kaskazini.

William Mungai mtoto wa waziri wa muda mrefu wa Elimu Tanzania Joseph Mungai ndiye anayeongoza 'mazishi' ya chama cha baba yake hapa Mufindi.

William Mungai tangu ajiunge na CHADEMA zaidi ya mwaka mmoja uliopita amekuwa akiongoza operesheni kadhaa kuimarisha CHADEMA na kuchoma moto hadharani kadi za maelfu ya wanaCCM wanaokihama chama hicho.

Mungai amekuwa akiwaeleza wananchi wa Mufindi mateso makubwa wanayopata na huduma mbovu ni kutokana na sera mbovu za CCM na kuwaambia ukombozi pekee uko CHADEMA kutokana na sera nzuri za chama hicho na uongozi thabiti usiyoyumba wa Mwenyekiti Freeman Mbowe na Katibu Mkuu Dr Wilbroad Slaa.

William Mungai ambaye kwa sasa ni mjumbe wa mkutano Mkuu Chadema Taifa wiki iliyopita alimualika jimboni humo Makamu Mwenyekiti BAVICHA Taifa Patrick Ole Sosopi kufanya mikutano kadhaa jimboni humo kuimarisha CHADEMA.

Joseph Mungai ambaye ni Baba yake William mbali ya kutumikia serikali kama Waziri kwa muda mrefu pia amekuwa mbunge wa Mufindi Kaskazini kwa miaka 35.

Akihojiwa kwa nini mtoto wake amejiunga CHADEMA huku yeye akiwa ni kada mkongwe wa CCM waziri huyo wa zamani amesema kamwe hawezi kumuingilia mtoto wake kwani ni kijana mkubwa mwenye maamuzi yake na amesema anamtakia kila la kheri katika harakati zake.
 
Mtu mwenye mzazi mwenye asili ya kenya kamwalika mmasai mwenye asili ya kenya Ole Sosopi.Majina ya akina Mungai si ya watu wa Iringa ni watu wa Kericho kule kenya alikotokea babu yake huyo william akaenda kulima chai Mufindi.CHADEMA kinapenda sana wahamiaji ambao uhamiaji wao nchini una utata na kuwapa mavyeo kienyeji.

Wewe hujielewi sasa tuseme chadema au Ccm kwani Baba yake Mongai Ccm ilimpa ubunge na hatimaye uwaziri itakuwaje mwanayekuja CDM. Eti CDM wanapenda wakimbizi ilo shame on you
 
Back
Top Bottom