Mungai amlipua Lowassa kwa propaganda anazofanya

Mungai amlipua Lowassa kwa propaganda anazofanya

Status
Not open for further replies.
well nakubali inawzekana mie pumbafu mbele ya msukule na zezeta wa bwn edward aliyetolewa kafara ya kusema asichokiamini mradi anapewa vipesa uchwara unavyoenda kudai ni vya kampeni hewa.sasa iko hvi najua huna akili ila chukua ya lowasa uongeze na ya kuku wako hapo kibandani ujue kuwa bwana wako hashindi milele.
 
unachoandika hakieleweki,wewe mwenyewe pia hueleweki.Leo unaweza kuambulia buku badala ya buku ten ulizozoea

Naona umeanza kuelezea kiwango cha rushwa ambacho huwa unapewa kuja kutuandikia uharo humu ndani.. Kwa taarifa yako tu ni kwamba umechelewa sana sana na tena sana, watanzania tyr tumeshaujua ukweli na Lowassa ndiye rais wetu sisi watanzania 2015-2025
 
dont generalize ur altitude..si wote tujuao kwanza mi najua rais wangu ajae ila si lowassa.
 
Kuumwa kwa mtu sio kushindwa Kuongoza. Anyway inategemea anaumwa nini. Lakini si dhani ugonjwa wa Lowasa kama ni kigezo cha kutokuwa rais. Mbona prof amesema ana cancer na bado ni rais. Cha muhimu Lowasa akikata kuwa rais ajipange. Kwani rais ikulu anaenda kumbia riadha au kupigana?. Tuwe wa kweli Kwani Lt Lowasa na Mugabe nani ananguvu zaidi?, sisemi Lowasa anafaa. Ila sijaona tatizo kwake. Akipata nafasi nafikiri anaweza. Ni mtazamo tu

my friend don't dare to compare Mugabe with Lowasa..Mugabe is a real man. sio mwanaume wa biscuit yule kusema akiwekwa kwenye maji anayeyuka. he is a man of wishes and great calliber tofauti yake na Lowassa is like a Starlet and Navy jet.
 
Yaani huu ni uongo usioweza kuvumilika kwanini mnamchafua Lowassa kwa kiwango hiki, Wote ni mashahidi kuwa eneo LA chuo kikuu Dodoma lilikua ni eneo LA ccm ambalo iliamua kuwapa serikali, sasa Leo inakuaje uje kutwambia kuwa serikali ilienda kunegotiate na wananchi?? Munghai mwenyewe anayajua madudu makubwa aliyoyafanya katika wizara , tunachokitambua sisi ni kwamba Lowassa ndiye mkombozi wa Elimu ya Tanzania na tunamtaka awe rais wa nchi yetu ya Tanzania 2015-2025

Kama unamtaka lowassa anaweza kua ata pale nyumban kwako ila sio hii nchi
Hatuwezi kuwapa nchi watu wanaotumia pesa nyingi sana ili kuupata uongozi
Kama yeye ni mkweli kwann kanyamaza kimya mbaka leo kuhusu sakata la Richmond kama yeye ni mwadilifu angewataja wahusika wote hadhari
Bora tukae bila rais ila sio lowassa
 
Sizan kama n kwel mtu anaamka amegombana na mke wake asbh anakuja kuongea upuuz kama huu huyu mungai ameharibu kila kitu kwenye secta ya elimu cjawah ona waziri mbumbumbu kama huyu kutokea maaana alifutaa michezo mashuleni kwa mihemuko yake mwenyewe nakumbuka nilikuwa darasa la tatu tukaambiwa waziri amefuta michezoo hujui wachezaji wengi wanatoka mashulen ww unakuja na sera za kinyumban leo hii timu ya taifa ingekuwa moto wa kuotea mbal rmber tz hatua vituo vya sokaaa so wachezaji wanatoka mitaaan so mchezaji wa dondo ataiwakilisha vip tz.

HAYA YOTE N MUNGAI
nimesoma shule ya kata
nimesoma chuo kikuu dodoma (UDOM)
yote haya n matunda ya EL
hata shulee nilizosoma tunajua lowasa ndio kafanikishaaa uongo na ndoto za mchana ukiwa bafuni hatuzitaki
 
Kuna uzi humu jf unasema mungai amlipua lowasa bada ya kuusoma nikaona huyu mungai amegundua kupiga kibao hakutoshi kaamua kupiga teke kabisa lowasa na kwa maneno yake hana tofauti na kale kadada kalikomwambia kiongozi wa albino pale ikulu nitakuuwa kwa faida yako hatuangalii nyuma tunaangalia mbele watanzania kuwapenda mungai lowasa na ccm ni sawa na kusema naipenda bia ya bingwa timu ya yanga na manji kanisani
 
Marafiki wengi wa Lowasa wataanza kumkimbia hata wale aliofanya nao mambo makubwa.
 
Yaani huu ni uongo usioweza kuvumilika kwanini mnamchafua Lowassa kwa kiwango hiki, Wote ni mashahidi kuwa eneo LA chuo kikuu Dodoma lilikua ni eneo LA ccm ambalo iliamua kuwapa serikali, sasa Leo inakuaje uje kutwambia kuwa serikali ilienda kunegotiate na wananchi?? Munghai mwenyewe anayajua madudu makubwa aliyoyafanya katika wizara , tunachokitambua sisi ni kwamba Lowassa ndiye mkombozi wa Elimu ya Tanzania na tunamtaka awe rais wa nchi yetu ya Tanzania 2015-2025
Pumbaff labda mkombozi wa Tumbo Lako ,nyama ulizokula mondoli juu zimekulevya
 
Lowassa hakika ni mchafu Huyu kilaza ambae hajawahi kupeleka hoja hata1bungeni kwa miaka26+alipokuwa bungeni
 
watoto wa lowasa mnashindwa kujadili hoja mnaishia kutukana,akili.zenu ni fupi kama kimo cha watu wa uturuki.Uraisi muusahau,raisi anatoka ukawa na mpaka sasa anasubiri kuapishwa tu
 
Kama unamtaka lowassa anaweza kua ata pale nyumban kwako ila sio hii nchi
Hatuwezi kuwapa nchi watu wanaotumia pesa nyingi sana ili kuupata uongozi
Kama yeye ni mkweli kwann kanyamaza kimya mbaka leo kuhusu sakata la Richmond kama yeye ni mwadilifu angewataja wahusika wote hadhari
Bora tukae bila rais ila sio lowassa

kwa hizi hela lowasa anazotumiwa kuwahonga hawa vidampa ili wakeshe internet kututukana ipo siku atazikumbuka,maana uraisi haupati bora hizi hela aziweke zitamsaidia kumtibu mwisho wa siku hawa wote watamkimbia
 
Lowassa hakika ni mchafu Huyu kilaza ambae hajawahi kupeleka hoja hata1bungeni kwa miaka26+alipokuwa bungeni

si unaona hapa hata vijana wake wanaishia kutukana badala ya kueleza sera zao.Hii CCM imekufa kifo cha mende miguu juu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom