MLUMENDAGU
Senior Member
- Oct 31, 2014
- 183
- 31
Sekta ya michezo uliondoa,,,mitaala yote ukabadili,,matokeo ukafuta hivi ww kweli,,na kwanza umetokea wapi?kwanza nilivyoona hii thread imenibidi nichekeee coz nakumbuka madudu uloyafanya,,,haaaa mkuu umepotea njia,,,huna vigezo vya kushindana na raisi wetu na hata nusu hujamfikia,,kajipange miaka mia ndo uje,,, lowassa jembeeeeeeeee