Kitoabu
JF-Expert Member
- Jul 7, 2011
- 10,658
- 11,604
Huyu jamaa alitabiri kua kabla 1/4/2016 Rais wa Malawi atafariki dunia.
Tena kuna thread humu ililetwa na kujadiliwa na wengi, na wengi wao kuonyesha woga lkn mpaka leo Rais huyo bado yu hai.
Sasa nilikua nawaomba wale wanaoamini tabiri zake na kufikia kumuita nabii waje wanisaidie.
Je kuna haja ya kuendelea kumuita nabii huyu?
Naomba kuwasilisha.