Sifa moja wapo ya kuwa rais nchini marekani ni lazima uwe bilionea, Trump ni bilionea.Hivi Trump ni bilionea kweli au utapeli?
Aliemteua alijua sio bilioneaHuwezi ukawa Billionare ukawa DC...nafasi hizi za kuteuliws na kupata salary
Kuwa DC ni prestige
Huoni anavyopigiwa salute.
Huoni kwenye msiba wa babake viongozi walivyopishana.
Kwahiyo wale viongozi walikwenda kufufuwa maiti ya baba yake?
Hii nchi imejaa wajinga wengi sana.
Obama ni bilionea?Sifa moja wapo ya kuwa rais nchini marekani ni lazima uwe bilionea, Trump ni bilionea.
Japo naona unatafuta ulinganifu wa DC wa Tz na rais wa u.s.a huo ni ujinga na kutojitambua
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Milioni 2 na nusuHata Jokate tuliambiwa ni bilionea
Leo anapata mshahara wa DC
Walifukua ili kupata nini mkuu?Kwahiyo wale viongozi walikwenda kufufuwa maiti ya baba yake?
Hii nchi imejaa wajinga wengi sana.
Si huyu kwenye msiba wa mtoto wake aling'ang'anie nyumba ya mumewe iuzwe wagawane leo katolea waapi ubilionea 😀😀bongo mtu anaeza itwa billionea ila kumbe ni mdangdju
Trump ni bilionea kweli na hakugombea urais kwa njaa ndio maana hata mshahara alikataa.Hivi Trump ni bilionea kweli au utapeli?
Then what mkuu!!?Kuwa DC ni prestige
Huoni anavyopigiwa salute.
Huoni kwenye msiba wa babake viongozi walivyopishana.
Hiyo para ya kwanza tumedanganyana sana utotoniSifa moja wapo ya kuwa rais nchini marekani ni lazima uwe bilionea, Trump ni bilionea.
Japo naona unatafuta ulinganifu wa DC wa Tz na rais wa u.s.a huo ni ujinga na kutojitambua
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Hukujamba ulipostuka?Mwenyewe nimestuka?
Ukijibiwa uniite😂😂.obama ni bilionea???